KARIAKOO DERBY: Mechi baina ya Simba na Yanga, waamuzi watoke nje ya Tanzania kwa usalama wao pamoja na familia zao?

SIPENDI SIASA

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
791
Reaction score
1,199
Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani.

Screenshot_20250108-103423_1.jpg

Kama mtu anaweza kujiua kisa tu Simba kamfunga yangu au Yanga kamfunga Simba, wewe unafikiri mtu kama huyo atashindwa kumchoma kisu refa au mtu wa familia ya refa??

Tukipata waamuzi kutokea nchi jirani au uarabuni sio mbaya sana. Au sio wakuu??..

Ni hayo tu..

~ SIPENDI SIASA ~
 
jenga uchumi wa watu wako wewe!, wapo marefa ukiwapa hiyo mechi watakuonyesha uwezo mzuri tu
Vp kuhusu usalama wa familia zao au wao wenyewe huko mitaani baada ya mechi??

Derby ya Simba na Yanga sio sawa ya Azam na Simba/Yanga ujue.

Simba na Yanga ni timu za nchi nzima na sio Dar pekee ujue??..
 
Vp kuhusu usalama wa familia zao au wao wenyewe huko mitaani baada ya mechi??

Derby ya Simba na Yanga sio sawa ya Azam na Simba/Yanga ujue.

Simba na Yanga ni tumu za nchi nzima na sio Dar pekee ujue??..
ilishawahi kutokea shida yoyote kwenye familia za marefa waliochezesha derby ya simba na yanga.
 
Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani.

Tukipata waamuzi kutokea nchi jirani au uarabuni sio mbaya sana. Au sio wakuu??..

Ni hayo tu..

~ SIPENDI SIASA ~
Acha kuweka rohoni na kutilia maanani sana ushindani wa Simba na yanga, huo ni utani tu na unaishia kwenye vita ya maneno tu, hatuhitaji kufika huko
 
Wakitoka nje ya Tanzania watawezaje kuona na kuamua mchezo huo na kuutolea maamuzi sahihi? Waamuzi wanatakiwa wawe wapo uwanjani wakati mchezo unaendelea, tena refa wa kati awe karibu sana na mpira. Kwa hali hiyo lazima wawepo ndani ya Tanzania, siyo watoke nje ya Tanzania
 
Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani.

Tukipata waamuzi kutokea nchi jirani au uarabuni sio mbaya sana. Au sio wakuu??..

Ni hayo tu..

~ SIPENDI SIASA ~
TFF badala ya kuweka pamba huweka magunzi, mbona hata VAR ipo
 
Acha kuweka rohoni na kutilia maanani sana ushindani wa Simba na yanga, huo ni utani tu na unaishia kwenye vita ya maneno tu, hatuhitaji kufika huko
Mkuu, people are getting mad as days go by. Kuna watu timu zao zikifungwa pressure inapanda au kushuka na wanapoteza uhai..
 
Back
Top Bottom