SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani.
Kama mtu anaweza kujiua kisa tu Simba kamfunga yangu au Yanga kamfunga Simba, wewe unafikiri mtu kama huyo atashindwa kumchoma kisu refa au mtu wa familia ya refa??
Tukipata waamuzi kutokea nchi jirani au uarabuni sio mbaya sana. Au sio wakuu??..
Ni hayo tu..
~ SIPENDI SIASA ~