Kariakoo inakuwaje duka Moja la simu Kuna wauzaji zaidi ya 20

Facebook kibaishara ndo mtandao unaolipa zaidi kuliko jf. Sijajua Instagram mana naona ukifanya kibiashar kule unatakiwa uwe advanced kidogo. Ila Facebook ina watu makini sana yani very serious na maisha halisi
instagram, Twitter & threads hii mitandao sjawahi kuielewa, cjui kwa nn. kila nikijilazmisha kuitumia najikuta ninai-unistall
 

Dalali mmoja anatosha, labda kama madalali wanawaleta wateja kutoka nje ya Kariakoo. Madalali wengi wataishia kumchanganya mteja.
 
Tatizo la Ajira
 
Ni connection na kujua machimbo ambayo hata mgeni utauziwa kwa bei elekezi..
Unaweza kutajiwa machimbo ukaenda ukakutana na wazee wa 10% ukauziwa bei kubwa vilevile.
 
Nyumba NHC fremu sio bei Kali ila shida ndio Kwa hao watu wa kati yeye amechukua fremu analipia NHC Kodi laki Moja alafu ana ipangasha Kwa laki 6

Watanzania Wana roho mbaya sana
Itakuwa NHC wanashirikiana nao sio bure....NHC ndo wamesababisha miji yetu ichakae kwa kumiliki majumba chakavu kuanzia kariakoo, kisutu, posta, mwanza, moshi, Bukoba etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…