King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
instagram, Twitter & threads hii mitandao sjawahi kuielewa, cjui kwa nn. kila nikijilazmisha kuitumia najikuta ninai-unistallFacebook kibaishara ndo mtandao unaolipa zaidi kuliko jf. Sijajua Instagram mana naona ukifanya kibiashar kule unatakiwa uwe advanced kidogo. Ila Facebook ina watu makini sana yani very serious na maisha halisi