Kariakoo, Upanga na Posta wana nchi yao nyingine kabisa

Ukweli mtupu, umesahau oysterbay na masaki, Ninafanya sana delivery za simu ayo maeneo

tatizo wabongo wabishi
 
Kama huna la kwenda kufanya sehemu huwezi kabisa kupajua. Mimi niliishi Ilala Boma mwaka mzima ila Kigogo nilikuwa napita tu na daladala sikuwahi kuwa na safari ya kwenda Kigogo. Hata Buguruni ilinichukua muda sana kufika.
Basi sisi wengine ni wazurulaji basi

Ova
 
Ni sahihi watu wa hivyo wapo. Lakini ukiwafuatilia, wana phycological effects nyingi tu zinazosababishwa na kukosa social interaction.
 
Kuna wengine wanakaa bunju wao wanaishia tegeta shuguli zao zote
Wana malaria hapo

Ova
 
Sidhani labda ka umeingia jana na gari la ng'ombe
 
Hili siyo jambo geni, maana hata huko vijijini kuna bàdhi ya wananchi hawajawahi kufika makao makuu ya wilya na mikoa waliyozaliwa.
 
Kuna dogo mmoja nilikutana nae katika mishe mishe anaishi mtaa wa zanaki hapo posta. Mikocheni hapajui wala ubungo au kawe hata hapo magomeni tu yeye hajawahi kufika.

Ni Posta kasoma shule za mjini, akitaka kusafiri anakula Pipa Airport basi
Kwa hiyo kuna plane ya Moja kwa moja kutoka huko mpaka ughaibuni bila kwenda kipawa
 
Alafu kuna kina sisis tunakaa Fukayosi .. mimi mwenyewe nikiwa na hela nasogea pande hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…