Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo NHC ndio babu yao? Kwanini una chuki na nyerere kiasi hichi au kwa kuwa ni mkristo?Nyumba za NHC ni babu zao, Nyerere aliwapora
Ukweli mtupu, umesahau oysterbay na masaki, Ninafanya sana delivery za simu ayo maeneoBaadhi ya maeneo ya Kariakoo, Upanga na Posta hawa watu ni wana nchi yao ndani ya nchi
Mtu anazaliwa Posta hajawahi kufika hata Magomeni
Hudumza zote wanapata huko huko
Posta mpaka kuna vyuo vikuu vya nje vyenye matawi
Starehe zao ni huko huko
Hosptali zao ni classic zipo
Maduka yao Posta mengi ni OG
Masoko na supermaket
Mtu akitoka sana jua anaenda ofisi za uhamiaji ama airport
Basi sisi wengine ni wazurulaji basiKama huna la kwenda kufanya sehemu huwezi kabisa kupajua. Mimi niliishi Ilala Boma mwaka mzima ila Kigogo nilikuwa napita tu na daladala sikuwahi kuwa na safari ya kwenda Kigogo. Hata Buguruni ilinichukua muda sana kufika.
Una akili timamu we mbwa!?..una uwezo wa kusoma na kuelewa!?Kwahiyo NHC ndio babu yao? Kwanini una chuki na nyerere kiasi hichi au kwa kuwa ni mkristo?
Waliopora serikali na mahakama ni muhimili wa serikali...tuulizane maswali ya maanaKwanini wasiende mahakamani
Sidhani labda ka umeingia jana na gari la ng'ombeBaadhi ya maeneo ya Kariakoo, Upanga na Posta hawa watu ni wana nchi yao ndani ya nchi
Mtu anazaliwa Posta hajawahi kufika hata Magomeni
Hudumza zote wanapata huko huko
Posta mpaka kuna vyuo vikuu vya nje vyenye matawi
Starehe zao ni huko huko
Hosptali zao ni classic zipo
Maduka yao Posta mengi ni OG
Masoko na supermaket
Mtu akitoka sana jua anaenda ofisi za uhamiaji ama airport
Mimi nina uwezo wa kumtia mama yako mzazi na akaliliaUna akili timamu we mbwa!?..una uwezo wa kusoma na kuelewa!?
Hata mwendawazimu anaweza Hilo,mi nauliza ikiwa kichwani Kuna maji au ubongoMimi nina uwezo wa kumtia mama yako mzazi na akalilia
mwendawazimu anaweza kumtia mama yako mzazi?Hata mwendawazimu anaweza Hilo,mi nauliza ikiwa kichwani Kuna maji au ubongo
Anaweza kukutia hata wewe,kutia siyo issue Wala si umwambamwendawazimu anaweza kumtia mama yako mzazi?
Muulize mama yako mzazi kama ni umwamba au sio umwambaAnaweza kukutia hata wewe,kutia siyo issue Wala si umwamba
Kwa hiyo kuna plane ya Moja kwa moja kutoka huko mpaka ughaibuni bila kwenda kipawaKuna dogo mmoja nilikutana nae katika mishe mishe anaishi mtaa wa zanaki hapo posta. Mikocheni hapajui wala ubungo au kawe hata hapo magomeni tu yeye hajawahi kufika.
Ni Posta kasoma shule za mjini, akitaka kusafiri anakula Pipa Airport basi
Ni kama kulisha upepo.Wote mmekoment ubatili mtupu