Karibia vi-nchi vyote vilivyodanganywa na Urusi na China kuhusu ujamaa vimebaki na umasikini wa kutupwa

Karibia vi-nchi vyote vilivyodanganywa na Urusi na China kuhusu ujamaa vimebaki na umasikini wa kutupwa

Tz umasikini sio sera za wachina ma warusi, tz umasikini ni uroho wa viongozi wetu, tuna viongozi, walevi wa madaraka, waroho, wabinafsi.. washamba wa mali etc.
Sasa unapata uranium badala ya kuitumia ipasavyo ilete maendeleo, unakubali kuvuta trilioni yalo, kisha mgofi uunauuza kwa bilioni mia kadhaa.

Umaskini wetu unaleta na viongozi.
Tizma bandari, madini, wanyama, ardhi etc, viongozi wanaleta uroho wa mali.
Sehemu watanzania wafaidike na trilioni 20, kiongozi anaweza akavuta bilioni 500 kisha akapagawa kwa trilioni 1(inaingia serikalini)
 
Write your reply...hivi tz na north korea ni masikini au unaaminishwa na propaganda za kimagharibi.nchi inamiliki nuklia na internet yao unasema masikini
(Disclaimer: kwa kiasi flani mimi ni muumini wa ujamaa) Lakini, ni kweli, North Korea ina umaskini wa kiwango cha juu sana. Ukifika miji kama Hamhung utastaajabu. Obviously, kuna sababu nyingi si tu ujamaa kuwa ndo chanzo cha umaskini huo.

Msalimie shemeji Chivayo
 
Cuba
Vietnam
Tz
Zambia
North korea
Laos
Cambodia
Mozambique
Albania

Na wengine sana tu..
Sio kwelimbona urusi sii maskini hivyo,mbona china,sii maskini hivyo,North korea usiwachukulie poa mbali ya kuhujumiwa na marekani hata hiyo Cuba hamwezi kujilinganisha nazo,shida kwingineko,wizi,ulafi wa madaraka na ufisadi ndiyo shida.Ujamaa unahitaji uzalendo wa kweli na uongozi thabiti.Usimsungizie Mrusi.
 
Back
Top Bottom