Karibia vi-nchi vyote vilivyodanganywa na Urusi na China kuhusu ujamaa vimebaki na umasikini wa kutupwa

Karibia vi-nchi vyote vilivyodanganywa na Urusi na China kuhusu ujamaa vimebaki na umasikini wa kutupwa

Vipi kuhusu Somalia, Burundi, South Sudan, DR Congo, Malawi n.k nazo zilidanganywa na nani?
Hizo ni nchi zilizofundishwa ubepari zikafeli. Zilifundishwa na nchi za Kimagharibi kama Marekani, Uingereza na Ufaransa. Zilizofaulu zipo nyingi tu kama South Korea, South Africa, Singapore, Taiwan. Na bado kuna zile hazijafundishwa ila zina mifumo sawa na ubepari kama Japan.

Upande wa ujamaa, walimu wao wakuu ni China ambayo ilipata wawekezaji lukuki kutoka nje hii iliupiga mkwara ujamaa baada ya kifo cha Mao Zedong, na Soviet Union ambayo ilianguka.
Sasa twende kwenye nchi zilizofundishwa ujamaa zikafaulu kiuchumi na zinafanya vizuri duniani. Ni zipi?
 
Viongozi wetu wanaomtaka madaraka Bado hawajajua waifanyie nini Tanzania yao
 
Cuba
Vietnam
Tz
Zambia
North korea
Laos
Cambodia
Mozambique
Albania

Na wengine sana tu..

Cuba, Vietnam, North Korea, Cambodia, China? Waonekana kuwa na vita fiche dhidi ya Polepole. Huko si ndiko gesi 2,000/- au Lita ya petrol 300/-?

Au umetumwa na wahuni?
 
Sure thing 😁

Wee mtu mna Taifa la watu Wana kwapua trillions of money na Sheria za nchi butu mahakama haiko huru Wala bunge halipo huru ,

Katiba mbovu ya nchi sera mbovu

Halafu una kuja hapa unaulaumu Ujamaa kuwa ndio chanzo Cha umaskini like seriously!??

Watu Kama hawa si wa kuvumiliwa. Hao ni wa kutolea uvivu head on!
 
Write your reply...hivi tz na north korea ni masikini au unaaminishwa na propaganda za kimagharibi.nchi inamiliki nuklia na internet yao unasema masikini
Huna akili kabisa ,uwe unajaribu hata kusoma mengine

USSR
 
Back
Top Bottom