Karibia vi-nchi vyote vilivyodanganywa na Urusi na China kuhusu ujamaa vimebaki na umasikini wa kutupwa

We
Huijui North Korea wewe. North Korea ni maskini kupindukia. Sehemu kubwa ya wananchi wake, hata chakula tu ni shida.

Kidogo wanachokipata, wanamalizia tu kwenye utengenezaji wa makombora, lakini maisha ya wananchi ni shida balaa.

View attachment 3474475View attachment 3474475View attachment 3474476View attachment 3474477View attachment 3474479View attachment 3474481View attachment 3474482
Unaijua Zaidi ya kuangalia na kutazama documentary na propaganda za wamagharibi?
 
Kiufupi ujamaa hata kwenye familia hufanya yeyote anaejaribu kujikwamua afe masikini. Maana ukijaribu kujikwamua majeshi yote ya ukoo yanakutazama wewe.
Hakuna jamii zinaishi kijamaa hapa Afrika Kama wahindi na waarabu lakini wengi wao ndiyo matajiri wakubwa kwenye nchi zao.
Mfano Bhakhresa, Mo Dewj, Rostam, Marehemu Manji na Subhash Patel.
 
Hawazai kama panya mkuu na wanarithishana mali. Bongo ukifa kila kitu watu wanauza wakafanye starehe
 
Ne
We
Unaijua Zaidi ya kuangalia na kutazama documentary na propaganda za wamagharibi?
Kama umewahi kufika jiji la SEOL, South Korea, nenda maeneo ya Hangdae ukaonane na watu wachache , waliofanikiwa kutoroka North Korea, huku waki-risk uhai wao, usikie jehanamu ya Dunia iliyopo North Korea.
 
Huijui North Korea wewe. North Korea ni maskini kupindukia. Sehemu kubwa ya wananchi wake, hata chakula tu ni shida.

Kidogo wanachokipata, wanamalizia tu kwenye utengenezaji wa makombora, lakini maisha ya wananchi ni shida balaa.

View attachment 3474475View attachment 3474475View attachment 3474476View attachment 3474477View attachment 3474479View attachment 3474481View attachment 3474482
Mkuu,umasikini wa nchi haupimwi au hauthibitishwi kwa baadhi tu ya picha ulizozichagua na kuzitupia hapa,
Hata US kuna state ambazo watu ni masikini na wanaishi kwenye makazi duni na wengine ni homeless.
 
Umewahi kufika South Korea? Kama umefika, nenda maeneo ambako wako defectors wa North Korea waliobahatika kuvuka mpaka ulio hatari zaidi Duniani, wakaingia South Korea.
Pale Seoul, nenda maeneo ya Hongdae kaonane na watu wachache , waliofanikiwa kutoroka North Korea, usikie jehanamu ya Dunia iliyopo North Korea. Kule chochote ambacho watawala wamezuia, ukienda kinyume tu, adhabu ni kifo, hakuna habari ya mahakama. Kuna maeneo, wazazi wanalazimika kuwatafutia mpaka viti watoto wao, vya kwenda navyo shuleni.

Sherehe kama Christmas ni marufuku kusherehekea. Ukipatikana unasherehekea, adhabu yako ni kifo. Wananchi wanatakiwa kusherehekea tarehe za kuzaliwa watawala.
 
usenge tu. kazi kusingizia ujamaa na ubepari. watu weusi tulilaaniwa. hakuna kitu tunaweza zaidi ya sports na dancing.
 
Umewahi kufika South Korea? Kama umefika, nenda maeneo ambako wako defectors wa North Korea waliobahatika kuvuka mpaka ulio hatari zaidi Duniani, wakaingia South Korea.
Pale Seoul, nenda maeneo ya Hongdae kaonane na watu wachache , waliofanikiwa kutoroka North Korea, usikie jehanamu ya Dunia iliyopo North Korea. Kule chochote ambacho watawala wamezuia, ukienda kinyume tu, adhabu ni kifo, hakuna habari ya mahakama. Kuna maeneo, wazazi wanalazimika kuwatafutia mpaka viti watoto wao, vya kwenda navyo shuleni.
Ulichoandika hapa wala hakihusiani na mada,
Umeandika issue ya utawala na sheria kali,

kwahiyo nikiwauliza hao watu wachache waliotoroka ndio watakua na uthibitisho na umasikini wa North Korea? Mkuu kua serious basi,

Kwahiyo wewe ulienda huko South Korea kwenye hayo maeneo uliyo yataja na ukawauliza hao waliotoroka ndio ukaja kuandika hapa walichokwambia?
 
Itoe Vietnam hapo uchumi wa Vietnam ni mkubwa sana zaidi ya nchi zenu zote za Afrika Mashariki kwa GDP na PPP.
GDP ya Vietnam ni 14400+
Wakati East Afrika yote ni 4060.23.
NB. . Kumbuka Vietnam ni ndogo ikiwa inaingia tmara 14.5 ya Jumuia ya Afrika Mashariki katika ukubwa wa ardhi. Pamoja na hayo Jumuia ya Afrika Mashariki Ina watu wengi mara 3 zaidi kuliko Vietnam. Vietnam inakadiriwa kuwa na watu 100 Milioni wakati Afrika Mashariki Ina watu 311 Milioni . Unaiwekaje Vietnam kwenye orodha ya nchi za ovyo kama hizo?
 
Mtu Kama huyo mleta mada wamekariri. Hapo alikuwa anaongea na kutaja nchi kwa hisia siyo kwa taarifa sahihi(facts) baada ya kutafiti kitaalamu.
Huyo ni mfano wa wahanga wa propaganda za media za mabepari.
 
Kwa hiyo Rwanda,Burundi,Malawi,DRC N.k ambao hawakua na hiyo sera ni matajiri au sio???
Kuwapa lawana wengine kwa failure zetu wenyewe na ujinga wetu nao ni ugonjwa wa akili
 
Mtu Kama huyo mleta mada wamekariri. Hapo alikuwa anaongea na kutaja nchi kwa hisia siyo kwa taarifa sahihi(facts) baada ya kutafiti kitaalamu.
Huyo ni mfano wa wahanga wa propaganda za media za mabepari.
Nimpe tu pole kwa kukariri . Nb tumuulize swali la mwisho kama sisi na wengine kadhaa tulikuwa chini ya ushawishi wa usovieti vipi ambao Bado wako nyuma mno kimaendeleo na walikuwa chini ya ushawishi wa Marekani kwa kuwataja Drc na wengine?
 
Hizo ni nchi zilizofundishwa ubepari zikafeli. Zilifundishwa na nchi za Kimagharibi kama Marekani, Uingereza na Ufaransa. Zilizofaulu zipo nyingi tu kama South Korea, South Africa, Singapore, Taiwan. Na bado kuna zile hazijafundishwa ila zina mifumo sawa na ubepari kama Japan.
Hivi unafahamu hizo nchi zilivyowezeshwa kimkakati kwenye uwekezaji na kupewa masoko kwenye nchi za magharibi?
 
Ujamaa una faida kwa watawala, lakini watawaliwa ni taabu tupu. Uchina na Russia wana ujamaa wakwenye makaratasi lakini ground wana uchumi wa kibepari.
Kama China kuna ubepari, ni nini kilimfanya Jack Ma apotee?
 
Back
Top Bottom