KEMPANJU BOY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 508
- 1,255
Ujamaa una faida kwa watawala, lakini watawaliwa ni taabu tupu. Uchina na Russia wana ujamaa wakwenye makaratasi lakini ground wana uchumi wa kibepari. Ujamaa unafanya watu wachache(watawala na magenge yao) wawe miungu watu, wakati wao wanaishi kama wako peponi wananchi wao wanaubiliwa umaskini kwamba ndo Uzalendo.