PROFOUND NOTION
Senior Member
- Nov 3, 2022
- 138
- 374
Hapo umeiongelea North Korea, vipi kuhusi Tanzania, wanamiliki nini?Write your reply...hivi tz na north korea ni masikini au unaaminishwa na propaganda za kimagharibi.nchi inamiliki nuklia na internet yao unasema masikini
(Disclaimer: kwa kiasi flani mimi ni muumini wa ujamaa) Lakini, ni kweli, North Korea ina umaskini wa kiwango cha juu sana. Ukifika miji kama Hamhung utastaajabu. Obviously, kuna sababu nyingi si tu ujamaa kuwa ndo chanzo cha umaskini huo.Write your reply...hivi tz na north korea ni masikini au unaaminishwa na propaganda za kimagharibi.nchi inamiliki nuklia na internet yao unasema masikini
Vipi kuhusu Somalia, Burundi, South Sudan, DR Congo, Malawi n.k nazo zilidanganywa na nani?Cuba
Vietnam
Tz
Zambia
North korea
Laos
Cambodia
Mozambique
Albania
Na wengine sana tu..
Mkuu tunaomba maswali yawe mepesi mepesi,hatutapenda kuona mleta mada anaukimbia uzi wake.Vipi kuhusu Somalia, Burundi, South Sudan, DR Congo, Malawi n.k nazo zilidanganywa na nani?
Mbona China Russia kote kuna masoko huria ambapo ni kiini cha ubepari , ubepari kuukwepa ni ngumu sanaSasa mbona hao Russia na China wao ni matajiri kama issue ni ujamaa?
cc Former China President Hu Jintao current President Xi Jinping
Kenya ina utajiri gani?Cuba
Vietnam
Tz
Zambia
North korea
Laos
Cambodia
Mozambique
Albania
Na wengine sana tu..
Kiufupi ujamaa hata kwenye familia hufanya yeyote anaejaribu kujikwamua afe masikini. Maana ukijaribu kujikwamua majeshi yote ya ukoo yanakutazama wewe.Cuba
Vietnam
Tz
Zambia
North korea
Laos
Cambodia
Mozambique
Albania
Na wengine sana tu..
Sio kwelimbona urusi sii maskini hivyo,mbona china,sii maskini hivyo,North korea usiwachukulie poa mbali ya kuhujumiwa na marekani hata hiyo Cuba hamwezi kujilinganisha nazo,shida kwingineko,wizi,ulafi wa madaraka na ufisadi ndiyo shida.Ujamaa unahitaji uzalendo wa kweli na uongozi thabiti.Usimsungizie Mrusi.Cuba
Vietnam
Tz
Zambia
North korea
Laos
Cambodia
Mozambique
Albania
Na wengine sana tu..
Kwa africa ya mashariki ipo vizuri zaidiKenya ina utajiri gani?
Sasa mbona wanapokea misaada ya Chakula karne hii kutoka China?Kwa africa ya mashariki ipo vizuri zaidi
Amesema A masahriki au duniani koteKwa africa ya mashariki ipo vizuri zaidi
Vietnam ni Maskini toka lini?Cuba
Vietnam
Tz
Zambia
North korea
Laos
Cambodia
Mozambique
Albania
Na wengine sana tu..
Inasikitisha sana maamuzi ya mihemko sio kabisa..Cuba
Vietnam
Tz
Zambia
North korea
Laos
Cambodia
Mozambique
Albania
Na wengine sana tu..
Naonaga ni ngumu nchi kuwa na ujamaa tu bila kuwa na upepari ,hasa kwa sasa.Amesema A masahriki au duniani kote