KEMPANJU BOY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 508
- 1,255
Uko sahihi kabisa. Kwa zile zile sera za Ujamaa, tungeweza kabisa kuendelea. Aulizwe nchi za kiafrika zilizokuwa zinafuata sera za Magharibi mbona nazo zina hali mbaya pengine kuliko hata zilizofuata Urusi?Tz umasikini sio sera za wachina ma warusi, tz umasikini ni uroho wa viongozi wetu, tuna viongozi, walevi wa madaraka, waroho, wabinafsi.. washamba wa mali etc.
Sasa unapata uranium badala ya kuitumia ipasavyo ilete maendeleo, unakubali kuvuta trilioni yalo, kisha mgofi uunauuza kwa bilioni mia kadhaa.
Umaskini wetu unaleta na viongozi.
Tizma bandari, madini, wanyama, ardhi etc, viongozi wanaleta uroho wa mali.
Sehemu watanzania wafaidike na trilioni 20, kiongozi anaweza akavuta bilioni 500 kisha akapagawa kwa trilioni 1(inaingia serikalini)
sina akili kweli ndio maana mama yako alikubali nimdinye na goviHuna akili kabisa ,uwe unajaribu hata kusoma mengine
USSR
🤣🤣🤣🤣 Ouch ouchsina akili kweli ndio maana mama yako alikubali nimdinye na govi
Akili mtu wangu...Uko sahihi kabisa. Kwa zile zile sera za Ujamaa, tungeweza kabisa kuendelea. Aulizwe nchi za kiafrika zilizokuwa zinafuata sera za Magharibi mbona nazo zina hali mbaya pengine kuliko hata zilizofuata Urusi?
Ujamaa ni nini ?Ujamaa una faida kwa watawala, lakini watawaliwa ni taabu tupu. Uchina na Russia wana ujamaa wakwenye makaratasi lakini ground wana uchumi wa kibepari. Ujamaa unafanya watu wachache(watawala na magenge yao) wawe miungu watu, wakati wao wanaishi kama wako peponi wananchi wao wanaubiliwa umaskini kwamba ndo Uzalendo.
VinyeoHapo umeiongelea North Korea, vipi kuhusi Tanzania, wanamiliki nini?
Africa - South Africa. Eritrea ndio mjamaa pekee aliyebaki, sisi tulijaribu tukaishia kuvaa kaniki na makaptura yamechanika matakoni huku mikate na sukari vinanunuliwa kwa kupanga foleni."They talk about the failure of socialism but where is the success of capitalism in Africa, Asia and Latin America?"
Makosa ya CCM lawama ziende kwa china na urusi.
Tz umasikini sio sera za wachina ma warusi, tz umasikini ni uroho wa viongozi wetu, tuna viongozi, walevi wa madaraka, waroho, wabinafsi.. washamba wa mali etc.
Inashangaza sana 🤣🤣🤣Sasa mbona hao Russia na China wao ni matajiri kama issue ni ujamaa?
cc Former China President Hu Jintao current President Xi Jinping
Ujamaa ndo umetufanya kuona kufanya kazi kwa bidii na kumiliki private jet ni ufisadiNaonaga ni ngumu nchi kuwa na ujamaa tu bila kuwa na upepari ,hasa kwa sasa.
Naona propaganda za wamagharibi zimekuaminisha kwamba North Korea ni masikini si ndiyo?Cuba
Vietnam
Tz
Zambia
North korea
Laos
Cambodia
Mozambique
Albania
Na wengine sana tu..
Nimemshangaa waTanzania ni wafuata mkumbo sana wanaaminishwa na vyombo vya magharibi kwamba North Korea ni masikiniWrite your reply...hivi tz na north korea ni masikini au unaaminishwa na propaganda za kimagharibi.nchi inamiliki nuklia na internet yao unasema masikini
North Korea ipo kwenye umaskini mkubwa sana. Maisha ya Wakorea Kaskazini, ni aheri hata ya mtanzania. Wakorea kaskazini, ni kama wote wapo kwenye jela. Kama usingekuwa udikteta uliopindukia, ambao umeweka sheria mkorea Kaskazini akionekana anaondoka Korea Kaskazini auawe, Korea Kaskazini ingebakia ardhi tupu. Mpaka wa Korea Kaskazini na Kusini unalindwa masaa 24, ukionekana unavuka tu, ni shaba hapo hapo.Write your reply...hivi tz na north korea ni masikini au unaaminishwa na propaganda za kimagharibi.nchi inamiliki nuklia na internet yao unasema masikini
Aliingizwa kingi au alijiingiza mwenyewe kwani alilazimishwa kufuata sera za Mao?Nyerere aliingizwa kingi
Naona propaganda za wamagharibi zimekuaminisha kwamba North Korea ni masikini si ndiyo.
North Korea wenye tishio la Silaha za Nuclear si Maskini. Ujamaa ndiyo umewafanya China kusonga mbele, pamoja Ujamaa wao wa sasa ni Socialism and Capitalism kwa kiasi fulani. Tz tungeukumbatia ujamaa bila ya selfishness tungekuwa far better. Ila mbele ya safari tukachanganya mafile.Hata mimi
Nimemshangaa waTanzania ni wafuata mkumbo sana wanaaminishwa na vyombo vya magharibi kwamba North Korea ni masikini
Naona propaganda za wamagharibi zimekuaminisha kwamba North Korea ni masikini si ndiyo?