Karibu tena JF member "National Anthem", natumai wewe na familia yako mtapona haraka katika hili

We badilisha I'd tu, ila chuki yako tushaijua🤔
 
Mi nashauri wanaoleta Uzi wakitegemea positive comments only waende FB , JF utakula nyundo tuu za negative hlo halipingiki... Kama Yesu mwenyewe alipingwa hadharani sembuse wewe mleta Uzi unayekunya Kwa kulenga
 
Jiandae kuitwa hater....watu wana moyo it took me years to grieve for my son leo mtu kafiwa mapacha anatamba huku na kule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Raha sana
Kwani kuingia na kucomment huku jF inamaanisha msiba haujamgusa?

Wengine Jf ndo mahala pakurelease stress,,
Kupoteza mawazo.

Sioni Cha kushangaza hapo.

Hata mm nilipofiwa, sehemu nilipokuwa natoa upweke na jf ni mojawapo.
 
Kama utoto si unaachana nao,unapita zako tu Mkuu
Si lazima ukazingatia kila uzi.
 

Taratibu Dada/Kaka wapi nimekataza mtu asiendelee na maisha yake?
 
Kwani kuingia na kucomment huku jF inamaanisha msiba haujamgusa?

Wengine Jf ndo mahala pakurelease stress,,
Kupoteza mawazo.

Sioni Cha kushangaza hapo.

Hata mm nilipofiwa, sehemu nilipokuwa natoa upweke na jf nu mojawapo.
Nimesoma comment ya rubii nikashangaa sana.
 
unashangaa msibani??
Haha, nashangaa msibani tena!

Ila vyovyote vile maisha yanasonga, uingie online au ujifungie chumbani ulie 24/7 hutabadikisha matokeo ya msiba.

Japo wengine sio pigo zao kuweka maisha yao humu, wapo wanaoona ni sawa tu. So tuishi tu!
 
Taratibu Dada/Kaka wapi nimekataza mtu asiendelee na maisha yake?
Umetoa maoni yako kama vile wewe ndo uko sahihi kwamba unamshangaa yeye kafiwa na mapacha na anatamba, kuingiza maoni yako kwenye maisha ya mtu ndo kumpangia mtu maisha kwenyewe huko
Kwahiyo acha kupangia watu maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…