Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We badilisha I'd tu, ila chuki yako tushaijua🤔Napata ukakasi sana kuanza kutukanana kwenye uzi kama huu. Otherwise ningeweza kukutukana pia kwani hata mimi matusi nayajua pia.
Nimeshatimiza haki yangu ya kikatiba ya kutoa maoni yangu kwa uhuru. Kama hukuyapenda hilo ni tatizo lako lakini jifunze kuwa siku nyingine ukileta uzi hapa usitegemee tu kusikia yale unayoyapenda. Vinginevyo baki na liuzi lako huko huko!
Let the little angels rest in peace [emoji1545]
Mi nashauri wanaoleta Uzi wakitegemea positive comments only waende FB , JF utakula nyundo tuu za negative hlo halipingiki... Kama Yesu mwenyewe alipingwa hadharani sembuse wewe mleta Uzi unayekunya Kwa kulengaNilikuwa sikujibu wewe!
Unfortunately huwa sijibishani na mtu ambaye siongei naye...
Umeleta liuzi hapa...
Mawazo mbadala yatakuwepo tu utake usitake!
Kwa hivyo usikomae sana na kutaka ku-control mawazo ya watu hapa.
After all, you must be grieving.
Please respect yourself and let the little angels rest in peace!
Elezeni kiupana hizo pole zinahusiana na nini?Nitoe pole Kwa National Anthem na familia yake Kwa ujumla pia nichukue nafasi hii kumkaribisha tena🥰
Kwani kuingia na kucomment huku jF inamaanisha msiba haujamgusa?Jiandae kuitwa hater....watu wana moyo it took me years to grieve for my son leo mtu kafiwa mapacha anatamba huku na kule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Raha sana
Kama utoto si unaachana nao,unapita zako tu MkuuMnapata faida gani kuanika maisha yenu mitandaoni humu? Is this real necessary? Do you think people genuinely care?
1. Kaoa (Uzi)
2. Kapata watoto mapacha (Uzi)
2. Mapacha wamefariki (Uzi)
3. Karibu tena mitandaoni (Uzi)
Seeking attention/sympathy? From who? At what cost? Kama kuna mabinti ambao pengine alishawaahidi kuwaoa humu akaishia kuwachezea na kuwatosa unafikiri walifurahi waliposikia kuwa kapata watoto mapacha? Unafikiri machozi yao waliyolia waliposikia kaoa yalikwenda bure?
Mambo mengine mnafanya ni utoto tu wallahi!
Anyway pole sana kwa mfiwa japo nilitegemea pengine achukue angalau kama mwezi hivi ili kuliflect na kumuomba Mungu; na kupata msaada wa kichungaji/kisaikolojia kabla ya kukimbilia kurudi tena kutamba mitandaoni humu hata wiki moja haijaisha. Labda masikini bado yuko kwenye denial!
Mungu Ambariki na kuwapoza wafiwa wote na hasa mkewe ambaye naamini kama mama bado atakuwa na wakati mgumu sana japo tayari mumewe kesharudi mitandaoni humu kusaka sympathy na attention!
Note: Haya ni mawazo yangu tu huru na hayana nia ya kumkwaza mtu wala kudogosha tukio la kusikitisha lililotokea. Let the innocent little ones peacefully rest in Jesus' endless blessings.
[emoji419][emoji419][emoji419]Tuwe na faragha kidogo wapendwa. Inasaidia sana hasa katika jamii zetu hizi za Kiafrika![emoji419][emoji419][emoji419]
Pole sana National AnthemAlifiwa na watoto wake mapacha vichanga
Wapi nimesema mtu asiingie jf Ndugu?Kwani kuingia na kucomment huku jF inamaanisha msiba haujamgusa?
Wengine Jf ndo mahala pakurelease stress,,
Kupoteza mawazo.
Sioni Cha kushangaza hapo.
Hata mm nilipofiwa, sehemu nilipokuwa natoa upweke na jf nu mojawapo.
Mtu akishafariki unatakiwa ushukuru na uendelee na maisha ya kawaida kutokukubaliana na hali ni dalili za kukufuru
Kwahiyo acha jamaa aendelee na maisha yake, kama wewe huwezi kukubaliana na hali usitake na yeye awe hivyo kwakua wewe ni wewe na yeye ni yeye
SAwa.Msiba wako hautuhusu, na hatujataka kuujua. Ila hiyo diss kwa brother angu National Anthem kuwa nayo makini🤔🤔
👉Akirudi jf, we ina kuuma Nini??
👉Unahisi Hana uchungu 🤔🤔
Ndugu zenu hao mnaojuana wengine sio ndugu zenu.Shida Kuna watu wanna umia, pale tunapo wafariji au kuwapongeza baadhi ya ndugu zetu.
[emoji117] Wanataka Kama ni kipindi kigumu wana chopitia, Basi tupitie sote[emoji848][emoji848][emoji31]
Nimesoma comment ya rubii nikashangaa sana.Kwani kuingia na kucomment huku jF inamaanisha msiba haujamgusa?
Wengine Jf ndo mahala pakurelease stress,,
Kupoteza mawazo.
Sioni Cha kushangaza hapo.
Hata mm nilipofiwa, sehemu nilipokuwa natoa upweke na jf nu mojawapo.
Haha, nashangaa msibani tena!unashangaa msibani??
Inashangaza brotherNimesoma comment ya rubii nikashangaa sana.
Umetoa maoni yako kama vile wewe ndo uko sahihi kwamba unamshangaa yeye kafiwa na mapacha na anatamba, kuingiza maoni yako kwenye maisha ya mtu ndo kumpangia mtu maisha kwenyewe hukoTaratibu Dada/Kaka wapi nimekataza mtu asiendelee na maisha yake?
Mwamba anaaamin vitu vitu vya mtandaoniUhakika kama kids existed? If they passed away?