Karibu tena JF member "National Anthem", natumai wewe na familia yako mtapona haraka katika hili

Karibu tena JF member "National Anthem", natumai wewe na familia yako mtapona haraka katika hili

Napata ukakasi sana kuanza kutukanana kwenye uzi kama huu. Otherwise ningeweza kukutukana pia kwani hata mimi matusi nayajua pia.

Nimeshatimiza haki yangu ya kikatiba ya kutoa maoni yangu kwa uhuru. Kama hukuyapenda hilo ni tatizo lako lakini jifunze kuwa siku nyingine ukileta uzi hapa usitegemee tu kusikia yale unayoyapenda. Vinginevyo baki na liuzi lako huko huko!

Let the little angels rest in peace [emoji1545]
We badilisha I'd tu, ila chuki yako tushaijua🤔
 
Nilikuwa sikujibu wewe!

Unfortunately huwa sijibishani na mtu ambaye siongei naye...

Umeleta liuzi hapa...

Mawazo mbadala yatakuwepo tu utake usitake!

Kwa hivyo usikomae sana na kutaka ku-control mawazo ya watu hapa.

After all, you must be grieving.

Please respect yourself and let the little angels rest in peace!
Mi nashauri wanaoleta Uzi wakitegemea positive comments only waende FB , JF utakula nyundo tuu za negative hlo halipingiki... Kama Yesu mwenyewe alipingwa hadharani sembuse wewe mleta Uzi unayekunya Kwa kulenga
 
Jiandae kuitwa hater....watu wana moyo it took me years to grieve for my son leo mtu kafiwa mapacha anatamba huku na kule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Raha sana
Kwani kuingia na kucomment huku jF inamaanisha msiba haujamgusa?

Wengine Jf ndo mahala pakurelease stress,,
Kupoteza mawazo.

Sioni Cha kushangaza hapo.

Hata mm nilipofiwa, sehemu nilipokuwa natoa upweke na jf ni mojawapo.
 
Mnapata faida gani kuanika maisha yenu mitandaoni humu? Is this real necessary? Do you think people genuinely care?

1. Kaoa (Uzi)
2. Kapata watoto mapacha (Uzi)
2. Mapacha wamefariki (Uzi)
3. Karibu tena mitandaoni (Uzi)

Seeking attention/sympathy? From who? At what cost? Kama kuna mabinti ambao pengine alishawaahidi kuwaoa humu akaishia kuwachezea na kuwatosa unafikiri walifurahi waliposikia kuwa kapata watoto mapacha? Unafikiri machozi yao waliyolia waliposikia kaoa yalikwenda bure?

Mambo mengine mnafanya ni utoto tu wallahi!

Anyway pole sana kwa mfiwa japo nilitegemea pengine achukue angalau kama mwezi hivi ili kuliflect na kumuomba Mungu; na kupata msaada wa kichungaji/kisaikolojia kabla ya kukimbilia kurudi tena kutamba mitandaoni humu hata wiki moja haijaisha. Labda masikini bado yuko kwenye denial!

Mungu Ambariki na kuwapoza wafiwa wote na hasa mkewe ambaye naamini kama mama bado atakuwa na wakati mgumu sana japo tayari mumewe kesharudi mitandaoni humu kusaka sympathy na attention!

Note: Haya ni mawazo yangu tu huru na hayana nia ya kumkwaza mtu wala kudogosha tukio la kusikitisha lililotokea. Let the innocent little ones peacefully rest in Jesus' endless blessings.

[emoji419][emoji419][emoji419]Tuwe na faragha kidogo wapendwa. Inasaidia sana hasa katika jamii zetu hizi za Kiafrika![emoji419][emoji419][emoji419]
Kama utoto si unaachana nao,unapita zako tu Mkuu
Si lazima ukazingatia kila uzi.
 
Mtu akishafariki unatakiwa ushukuru na uendelee na maisha ya kawaida kutokukubaliana na hali ni dalili za kukufuru
Kwahiyo acha jamaa aendelee na maisha yake, kama wewe huwezi kukubaliana na hali usitake na yeye awe hivyo kwakua wewe ni wewe na yeye ni yeye

Taratibu Dada/Kaka wapi nimekataza mtu asiendelee na maisha yake?
 
Kwani kuingia na kucomment huku jF inamaanisha msiba haujamgusa?

Wengine Jf ndo mahala pakurelease stress,,
Kupoteza mawazo.

Sioni Cha kushangaza hapo.

Hata mm nilipofiwa, sehemu nilipokuwa natoa upweke na jf nu mojawapo.
Nimesoma comment ya rubii nikashangaa sana.
 
unashangaa msibani??
Haha, nashangaa msibani tena!

Ila vyovyote vile maisha yanasonga, uingie online au ujifungie chumbani ulie 24/7 hutabadikisha matokeo ya msiba.

Japo wengine sio pigo zao kuweka maisha yao humu, wapo wanaoona ni sawa tu. So tuishi tu!
 
Taratibu Dada/Kaka wapi nimekataza mtu asiendelee na maisha yake?
Umetoa maoni yako kama vile wewe ndo uko sahihi kwamba unamshangaa yeye kafiwa na mapacha na anatamba, kuingiza maoni yako kwenye maisha ya mtu ndo kumpangia mtu maisha kwenyewe huko
Kwahiyo acha kupangia watu maisha
 
Back
Top Bottom