Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
A 22 bei ganKwa samsung ambazo zinakaa na chaji kwa muda mrefu ni A series kwaiyo wew unaweza kuchagua kwanzia A 13 mpak A 72 maelekezo zaidi 0682400906 whats app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A 22 bei ganKwa samsung ambazo zinakaa na chaji kwa muda mrefu ni A series kwaiyo wew unaweza kuchagua kwanzia A 13 mpak A 72 maelekezo zaidi 0682400906 whats app
au kama hutojali naomba unishushie A series zte bei zakeA 22 bei gan
Jichange uone utamu wa S22 Ultra / S23 UltraMi binafsi ninatumia simu kubwa sana ni note 10+ambayo ina gb 512 na nimshatumi zaidi ya gb 170.so kila nikitaka kubadili simu najiuliza iweje?
Maana hizi mpya mpya zinazotrend kwa bajeti yangu nizizojipangi kununua nyingi ni kuanzia 128 gb na 256gb
Hii ni 5a?5 450,850 6,7 1.25M
Haraka saaana toka huko infinix.kwa mimi ninaetaka kuhama kutoka infinix ambayo uwezo wake ni RAM 2.00GB, ROM 32.00GB, CAMERA 13M DUAL, BATTERY 6000mAh
Ni aina ipi ya Samsung itanifaa ambayo itakuwa na uwezo mzuri wa kutunza chaji, camera nzuri na uwezo mkubwa wa kutunza kumbukumbu?
Maana nilishanunua samsung ndani ya siku mbili tu ikanishinda, haitunzi chaji, camera mbovu na mambo mengine ambayo ni ya hovyo sikuyaelewa elewa yalinifanya nirud dukan nikanunue infinix nyinginge
Je ninunue Samsung gan itakayonifanya nisitamani kurudi infinix?
Kama unataka samsung baki hapo hapo note 10+.Mi binafsi ninatumia simu kubwa sana ni note 10+ambayo ina gb 512 na nimshatumi zaidi ya gb 170.so kila nikitaka kubadili simu najiuliza iweje?
Maana hizi mpya mpya zinazotrend kwa bajeti yangu nizizojipangi kununua nyingi ni kuanzia 128 gb na 256gb
Unyama mwingi sana mwaisaMi binafsi ninatumia simu kubwa sana ni note 10+ambayo ina gb 512 na nimshatumi zaidi ya gb 170.so kila nikitaka kubadili simu najiuliza iweje?
Maana hizi mpya mpya zinazotrend kwa bajeti yangu nizizojipangi kununua nyingi ni kuanzia 128 gb na 256gb
Hiyo ni 5 boss 5a pia zipo 0682400906Hii ni 5a?
Unatak bei gani pesa haijawah kuwa tatizo Mkuu🤝Lipia Tangazo mkuu
INFINIX..au kama hutojali naomba unishushie A series zte bei zake
A24 galaxy sh ngapi?INFINIX..
Smart7plus...250000
Smart7HD.....225000
Hot11ply........280000
Smart6 4G....230000
Hot3 0i/128-4...285000
Hot12i/2.64...250000
Hot12i/3.64...265000
Hot12.128/4...370000
Hot11 128/4....320000
Hot20play 64....270000
Note12.128/4...420000
Note12.256/8.....500000
#TECNO..
RC6.16/1......150000
Pop7pro.64/4..260000
Camon19.......420000
Pop6GO.32/2....200000
Spark10pro.......380000
Spark10c...........280000
Spark10pro......435000
Pop7.64/4.........230000
Spark8c.64/4....240000
#SAMSUNG..
A03core.....225000
A03/32.......265000
A04/64.......290000
A04E.32/3..240000
A04E 64/3..280000
A04s/64.....350000
A04s/128...400000
A13/64.......380000
A13/128.....420000
A54 gb 128 870
A34 gb 128 740
A14 5G 550
A14 gb 128 420
A14 gb 64 380
A23 gb 128 500
A23 gb 64 470
A33 700
A73 gb 128 1 M
A73 gb 256 1.15 M
24 zimeniishia mkuuA24 galaxy sh ngapi?
Nilifikiri unauza simu za Samsung [emoji28][emoji28]A24 galaxy sh ngapi?
No, mi chawa wa samsung kama wewe ulivyo chawa wa chiomiNilifikiri unauza simu za Samsung [emoji28][emoji28]
Kwa hiyo ile siku ulidanganya, kweli njia ya muongo fupi [emoji23][emoji23][emoji23]No, mi chawa wa samsung kama wewe ulivyo chawa wa chiomi
Nilikuwa nauza kwa wakati huo ila life ishachenjiKwa hiyo ile siku ulidanganya, kweli njia ya muongo fupi [emoji23][emoji23][emoji23]
A14 gb64 mia 300k unakula?INFINIX..
Smart7plus...250000
Smart7HD.....225000
Hot11ply........280000
Smart6 4G....230000
Hot3 0i/128-4...285000
Hot12i/2.64...250000
Hot12i/3.64...265000
Hot12.128/4...370000
Hot11 128/4....320000
Hot20play 64....270000
Note12.128/4...420000
Note12.256/8.....500000
#TECNO..
RC6.16/1......150000
Pop7pro.64/4..260000
Camon19.......420000
Pop6GO.32/2....200000
Spark10pro.......380000
Spark10c...........280000
Spark10pro......435000
Pop7.64/4.........230000
Spark8c.64/4....240000
#SAMSUNG..
A03core.....225000
A03/32.......265000
A04/64.......290000
A04E.32/3..240000
A04E 64/3..280000
A04s/64.....350000
A04s/128...400000
A13/64.......380000
A13/128.....420000
A54 gb 128 870
A34 gb 128 740
A14 5G 550
A14 gb 128 420
A14 gb 64 380
A23 gb 128 500
A23 gb 64 470
A33 700
A73 gb 128 1 M
A73 gb 256 1.15 M