Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Natumia tecno camon 16s mwaka wa 3 sasa na napata internet speed 4G, rom 128Gb na ram 4.
kamera kali, chaji inatulia sana
kabla hujajifungia kwenye gereza la Iphone, waza kuhusu autoparts za simu yako, vingapi utakosa kwa wenzio ukiwa na hayo masimu😂😂
kamera kali, chaji inatulia sana
kabla hujajifungia kwenye gereza la Iphone, waza kuhusu autoparts za simu yako, vingapi utakosa kwa wenzio ukiwa na hayo masimu😂😂