Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Hiyo kagongwa mzee nilikuwa naenda Rwanda nikalala hapo.Iphone ni balaa tupu bab'ke
Kwa hiyo mkuu upo unauza hizo bidhaa,,,unapatikana wapi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo kagongwa mzee nilikuwa naenda Rwanda nikalala hapo.Iphone ni balaa tupu bab'ke
Kwa hiyo mkuu upo unauza hizo bidhaa,,,unapatikana wapi!
😄😄😄 Boss biashara ya 13 hatukumalizaAcheni masihara na camera ya Itel 🤗🔥
Ni used au brand new!Napatikana Kariakoo boss Wangu mtaa wa Aggrey 0682400906 Nauza kwa bei nafuu sana naagiza mwenyew kutoka nje boss karibu sana
[emoji114][emoji114]Acheni masihara na camera ya Itel [emoji847][emoji91]
Brand new na used pia boss karibuNi used au brand new!
Samahan boss ila uje kufanya top up sas uingie 14 bhn😁😁Acha kufananisha pixel na vitu vya ajabu kama hii Iphone 13 yangu.
Acha kufananisha pixel na vitu vya ajabu kama hii Iphone 13 yangu.
Utaipata kwa 450 boss zimekuwa adimu sana kutoka na uhitaji mkubwa sokoni unaweza kuwahi tu karibu sanPixel 4xl gb128 unauzaje mkuu ntaka niuze mtambo wangu huu niichukue hy kitU
Sema hizo top up mnabadikisha spare ndo unauzia watu hapo Kariakoo. Nyie mnaonunua simu mbovu hamuaminiki.Napatikana Kariakoo boss Wangu mtaa wa Aggrey 0682400906 Nauza kwa bei nafuu sana naagiza mwenyew kutoka nje boss karibu sana
Boss sisi hatuhusiki na biashara ya simu mbovu ndo maan tunatoa warranty kwa wateja wetu karibu.Sema hizo top up mnabadikisha spare ndo unauzia watu hapo Kariakoo. Nyie mnaonunua simu mbovu hamuaminiki.
Nimeshajiwekea msimamo sitanunua tena simu kwa watu kama nyie.