Narudia tena! Wewe akili yako bado iko karne ya 6Wewe huna akili kabisa
Hapa nimeuliza kuhusu Mpina ...
Wapi umeona nimesema Mpina kapora ardhi ?Mimi nimemuuliza alieleta mada aweke hoja zake vizuri..
Wewe Acha kuvamia hoja kama hujaelewa
Hatari na nusu Bwashee!Ndani ya ccm ya sasa, hakuna aliye msafi kiasi cha kumnyooshea mwenzake kidole.
Kwa tuliyoisikia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku tumeelewa hilo. Yaani hata Mpina?Tulipofika imekuwa Ngumu kujua nani ni Mzalendo wa kweli na nani anaigiza huku CCM
Au ndio chama kimefikia decline stage katika PLC?!
Mlale Unono
Kinachoendelea sasa kwa Mpina ni zengwe la walamba asali wa mjengoni wanaokaliwa kooni na hoja zakeTulipofika imekuwa Ngumu kujua nani ni Mzalendo wa kweli na nani anaigiza huku CCM
Au ndio chama kimefikia decline stage katika PLC?!
Mlale Unono
Tufanye atawaachia hilo shamba! Baada ya hapo? Mtakuwa mmejibu hoja zake?Mpina ni tapeli tu na alikuwa anatumia ukaribu wake na JPM kudhulumu ardhi. Huyo aliingia kichwa kichwa akitaka kudhulumu ardhi kule Kata ya Udekwa Kijiji cha Wotalisoli, Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa jamaa wakamchomeka kwenye eneo la "Udzungwa nature reserve" na kamati ya ardhi ya kijiji ikala pesa zake. Hana hamu sasa kwa kule. Hili nalifahamu kwani nilikuwa mmoja wa maafisa wa Ardhi kule Wilaya ya Kilolo.
Kimsingi, hakuna mwana siasa mwenye maana ukiona anapiga kelele ujie amenyimwa ulaji, anafurukuta ila alambe asali.
Wananchi wanapokubali kutumika kufanya uhalifu kwa maelekezo ya dola maana yake ni kwamba utawala huo umefitinika na unajifitini na hakika anguko lake ni suala la muda tuMpina ndiye mbunge pekee aliyekuwa anawakalia kooni mawaziri wa serikali ya wamu ya 6.
Lkn kama alivyowahi kusema mheshimiwa Polepole kwamba ndani ya ccm ukiwa mfukunyuku, mpembuzi na mjenga hoja basi jiandaye kwa mambo 3:- kuuawa, kufanyiwa zengwe ama kurogwa.
Sasa naona Mpina ameundiwa zengwe kwamba amepora ardhi ya wanavijiji 3. Na kama kawaida waigizaji wameandaliwa wanalia na kugalagala unaweza kudhani ni kweli. Mpina wa watu anataka kutishwa ili akae kimya.
Nchi ngumu Sana hii.
My take;:
Hakuna kigogo wa ccm aliye msafi, hivyo Mpina asisulubiwe peke yake. Vinginevyo tuko tayari kufichua duluma iliyofanywa/inayofanywa na kila mwanaccm.
CCM hovyoooo!!!
Wewe akili yako ipo Karne ya kwanza!?Narudia tena! Wewe akili yako bado iko karne ya 6
Michango yako yote kuwahusu kina fulani inafahamika na ipo humu! Umsemee mazuri Mpina Wewe?
Ni ujinga kudhani Mpina akikomolewa kwa mambo ya kipumbavu eti wewe uone umetangaza soko la kile unaamini!
Hayo yako na mtazamo wako na hiyo changamoto ya viongozi kupora ardhi ilikuwepo toka na toka. Sumaye na Mvomero pia Mkapa na Turiani kwa hiyo yeye sio wa kwanza japo naona unaongelea katika muktadha wa Sukuma gang. Pole yako.Tufanye atawaachia hilo shamba! Baada ya hapo? Mtakuwa mmejibu hoja zake?
Kuwa CCM yahitaji unyofolewe ufahamu
Kumbe unalijua tuoneshe msafi Kwa kauli yakoMpina ndiye mbunge pekee aliyekuwa anawakalia kooni mawaziri wa serikali ya wamu ya 6.
Lkn kama alivyowahi kusema mheshimiwa Polepole kwamba ndani ya ccm ukiwa mfukunyuku, mpembuzi na mjenga hoja basi jiandaye kwa mambo 3:- kuuawa, kufanyiwa zengwe ama kurogwa.
Sasa naona Mpina ameundiwa zengwe kwamba amepora ardhi ya wanavijiji 3. Na kama kawaida waigizaji wameandaliwa wanalia na kugalagala unaweza kudhani ni kweli. Mpina wa watu anataka kutishwa ili akae kimya.
Nchi ngumu Sana hii.
My take;:
Hakuna kigogo wa ccm aliye msafi, hivyo Mpina asisulubiwe peke yake. Vinginevyo tuko tayari kufichua duluma iliyofanywa/inayofanywa na kila mwanaccm.
CCM hovyoooo!!!
Yale akina Mpima walifanyia wengine sasa uamemrudia. KarmaMpina ndiye mbunge pekee aliyekuwa anawakalia kooni mawaziri wa serikali ya wamu ya 6.