Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

Duh! Kwa hiyo Mpina kasingiziwa!!
 
2025 asiingie mmpinzani yeyote bungeni, lazima ccm wamalizane.
 
Kutakua na milipuko ya backfire. Wala wasithubutu kumsulubu mpina. Wakilianzisha tunalo. Wanamapinduzi ndani ya chama cha mapinduzi walifanikiwa kumzuia lowassa na membe... wasijaribu ama sivyo watakinukisha.
 
Wanaleta siasa za kizamani, siku zote walikuwa wapi?
 
Kesi ya ardhi huwa nyepesi sana nashauri mpina anyoke nao mahakamani maana ardhi ni vielelezo. Akiwagalaza tuu awashitaki kwa defamation... mtu aliyekuwa na status tuone ka watamlipa... nchi hii inawehu wengi sana
 
ikibainika ni kweli kapora ardhi awajibishwe vilivyo na ikiwa vinginevyo haki na heshima yake apewe
 
Hahahaha yaani kuna jamaa mmoja anaongea halafu anaonekana kabisa kapangwa na kuna yule mwanamke anayejiliza yaani full maigizo. Ila hakika sisi chawa wa Mama hatukubali huu uzushi, hawa hawa ndiyo wanaweza mtengenezea Mama yetu skendali ili kutuondoa 2025
 
Siasa ndiyo ilivyo

Kama anajiona yuko clean aendeleze moto,tatizo linakuja hakuna aliyemsafi

Ova
 
Wenye akili timamu tunajua hizo ni hujuma tu, tunaapa kusimama na Mpina mpaka mwisho.
 
Mh. Mpina ataendelea kuwanyosha tu na tuhuma zenu za kubumba!!
 
Kwahio hizo Nyavu zilikuwa ni nzuri na zinafaa kutumiwa kwa uvuvi ?

Kwa maana nyingine hao wavuvi tunawarudishie hizo Nyavu ili waendelee kuharibu vizazi vya Samaki ?!!!
 
Nchi nzima turudi shuleni kusoma kama tutayaamini haya maigizo
 
alipima mpaka samaki wenye mchuzi

 
Yani wewe ukiacha unyumbunyumbu, saa zingine huwa unauliza maswali na kuleta hoja zenye mantiki sana.
Simtetei Mpina , maana alikuwa Kauzu sana enzi za Dikteta Jiwe , alipima hadi samaki kwenye bakuli

Ila nimechochea tu kuni ili kuunguza ccm
 
RBC ni kwanini unasema zengwe?!!!

Ni kwanini unahukumu kwa "conspiracy theories"...

Tusimuongelee mh.Mpina...je watu hawapori ardhi kwa vigezo vya nafasi za ukubwa walizonazo ?!!!

Nenda pale wizara ya ardhi uulizie wakubwa gani wanatuhumiwa....au kwa sababu tuhuma zao hujazisikia katika vyombo vya habari.....

Mkuu wa wilaya ya pale ameteua kamati ya siku 14....Mh.Mpina ameombwa atoe ushirikiano.....akihitajika asisite kwenda.....

Ni hivi majuzi tu mh.Waziri Mkuu alimkemea yule afisa mipango miji anayehodhi ardhi kinyume na utaratibu tena akirudia makosa hayohayo kila anapohamishiwa.....unajuaje kuwa anamiliki ardhi yenye wamiliki wenye nguvu nyuma yake ?!!!

Tusubiri hizo siku 14 na tusianze ramli za misigano ya kisiasa....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…