mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Huyu ni kama anataka kutupiga chenga ya mwili tu wakati mpira upo hapo hapo!! Bila shaka mother anajua hilo!! Yeye na yule bosi wa mjengoni ni timu moja!!Hotuba ya PM inagusa engo zote za utawala, wala siyo Spika tu.
Mazoezi yamekua mechi. Mungu hapendi wanafiki na wadhulumati. MaCCM yote ni LAANAKUM .
Haka kiumbe kinachoitwa Majaliwa ni kaongo mno. Kinataka kujifanya kinamkana Ndugai, ili kionekane hakimo “sukuma GANG movement “ wakati tunajua wote lao moja.Hii barakashia akiivaa tu jua kajiandaa kusema uongo.
Piga nikupige, MaCCM yanaruka na kukanyagana, yanaruka kinyama.Mh Ndugai hawezi kwenda kujibia Kanisani kwani?
Majaliwa kasema ukweli na anafanya hivyo kuwaambia wale mnaomtaja kwenye ufisadi kila mara humu mara anamuhujumu mama.Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais,
>>Msikilize kwa makini<<<
===========
Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani.
Hata ukilazimisha kutaka nafasi hiyo, huwezi kama mwenyezi Mungu hajasema nenda na wala usitumie njia yoyote ya kumuathiri mwenzako ili apate madhara eti atoke hapo wewe uende, nani amekwambia wewe utakwenda hapo?
Tuache tabia ya kuacha viongozi ya kuwaacha viongozi wafanye kazi yao ya kuwahudumia watanzania na kuwatengenezea migogoro kila siku tena mingine ni ya kusingizia tu.
Kama mwenyezi Mungu hajasema hutakuwa, utatumia mihela mingi itapotea tu, utakwenda na mambo mengine ya giza huko hutamudu, mwenyezi Mungu amesema huyu ni huyu. Tuheshimu walioko kwenye nafasi za kuwatumikia watanzania wafanye kazi yao kwa weledi.
Uongozi wa sekta yoyote ile unaongozwa na mwenyezi Mungu, unaweza kupambana sana unataka ukae, ukakuta haukai anakaa mwingine. Kwahiyo utaanza kuwaathiri wote hao wanaokaa hapo kwasababu wewe unataka kumbe mwenyezi Mungu hataki, lazima tujue kwamba, madaraka yoyote yanatolewa na Mwenyezi Mungu.
View attachment 2064822
Na si kweli mamlaka yote hapa duniani yanatoka kwa Mungu.Waache kumtaja taja Mungu kwenye mambo yasiyomuhusu....
Hata shetani ana uwezo wa kumpa mtu nafasi ya juu katika nchi, ni vile wengi hawajui hilo au wanajua la wanajifanya kutojua.Ila tukubali au tukatae haya Maneno ya majaliwa ni kweli kabisaa!!!! Sikuzote MUNGU anampa amtakaye hata ufanye vipi juhudi haishindani na KUDRA
Umeongea ukweli mtupustill mama's camp is really weak
majaliwa mwenyewe i doubt kama yupo mama's camp
mama afanye handshake na Mbowe ndio salama yake,trust me
Umenikumbusha mbali jamaa!Hii ndio ile baraghashia aliyoivaa siku ile wakati anatuambia rais yuko imara ?View attachment 2064852
Kny hao viongozi wetu wanaopiga deals usiku na mchana kwa kodi za walalahoi..tuwaache sababu ni mpango wa Mungu??Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais,
>>Msikilize kwa makini<<<
===========
Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani.
Hata ukilazimisha kutaka nafasi hiyo, huwezi kama mwenyezi Mungu hajasema nenda na wala usitumie njia yoyote ya kumuathiri mwenzako ili apate madhara eti atoke hapo wewe uende, nani amekwambia wewe utakwenda hapo?
Tuache tabia ya kuacha viongozi ya kuwaacha viongozi wafanye kazi yao ya kuwahudumia watanzania na kuwatengenezea migogoro kila siku tena mingine ni ya kusingizia tu.
Kama mwenyezi Mungu hajasema hutakuwa, utatumia mihela mingi itapotea tu, utakwenda na mambo mengine ya giza huko hutamudu, mwenyezi Mungu amesema huyu ni huyu. Tuheshimu walioko kwenye nafasi za kuwatumikia watanzania wafanye kazi yao kwa weledi.
Uongozi wa sekta yoyote ile unaongozwa na mwenyezi Mungu, unaweza kupambana sana unataka ukae, ukakuta haukai anakaa mwingine. Kwahiyo utaanza kuwaathiri wote hao wanaokaa hapo kwasababu wewe unataka kumbe mwenyezi Mungu hataki, lazima tujue kwamba, madaraka yoyote yanatolewa na Mwenyezi Mungu.
View attachment 2064822
Maneno yenye hekima.Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais,
>>Msikilize kwa makiniB]
===========
Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani.
Hata ukilazimisha kutaka nafasi hiyo, huwezi kama mwenyezi Mungu hajasema nenda na wala usitumie njia yoyote ya kumuathiri mwenzako ili apate madhara eti atoke hapo wewe uende, nani amekwambia wewe utakwenda hapo?
Tuache tabia ya kuacha viongozi ya kuwaacha viongozi wafanye kazi yao ya kuwahudumia watanzania na kuwatengenezea migogoro kila siku tena mingine ni ya kusingizia tu.
Kama mwenyezi Mungu hajasema hutakuwa, utatumia mihela mingi itapotea tu, utakwenda na mambo mengine ya giza huko hutamudu, mwenyezi Mungu amesema huyu ni huyu. Tuheshimu walioko kwenye nafasi za kuwatumikia watanzania wafanye kazi yao kwa weledi.
Uongozi wa sekta yoyote ile unaongozwa na mwenyezi Mungu, unaweza kupambana sana unataka ukae, ukakuta haukai anakaa mwingine. Kwahiyo utaanza kuwaathiri wote hao wanaokaa hapo kwasababu wewe unataka kumbe mwenyezi Mungu hataki, lazima tujue kwamba, madaraka yoyote yanatolewa na Mwenyezi Mungu.
View attachment 2064822
Mungu?Ila tukubali au tukatae haya Maneno ya majaliwa ni kweli kabisaa!!!! Sikuzote MUNGU anampa amtakaye hata ufanye vipi juhudi haishindani na KUDRA
Mfano jiweHata shetani ana uwezo wa kumpa mtu nafasi ya juu katika nchi
Halafu majaliwa mwenyewe ana usafi gani? Huyu si ndiyo aliwateka wagombea wa vyama vingine jimboni kwake?Majaliwa Hayo uliyoyaongea yana connection gani na ibada hapo. Acheni kutumia nyumba za ibada kujilinda. Mnazo forums kibao kaongeeni huko. Muumini kaja kumwabudu Mola wake na kusikia mawaidha ya ujumbe wa siku katika Quraani, weye unaenda kuwajaza mambo ya siasa zenu.
Hii tabia mlioanzisha na mentor wako si nzuri hata kidogo. Heshimuni nyumba za ibada na Ibada. Kama una hoja nenda Pale Maelezo kaongee.
Acha kuwa mzushi......Read between the lines!
Povu .. ukweli unauma ehee.. Majaliwa awezi kuwa kiongozi wa watanzania, hakuna aliemchagua.Mjalaana mama yako aliyekuzaa, huwezi kuja na matusi kwa viongozi wa nchi tukunyamazie kenge wewe
CHADEMA ni Mali ya Mtei na mrithi wake ni Mbowe ambaye ni mkwe wa Mtei