Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Kwani kuna ulazima gani wewe ukiwa kwenye ndoa na mimi niingie?
Mungu ndio chimbuko la dini,upende au usipende
Mtu anaweza ogopa yaliyopo ndoani na akacha kuoa , mimi sioni tatizo lake ni maamuzi tuhakuna faida. Ila hoja yangu tangu mwanzo ni mtu kuogopa ndoa kwa kisingizia kuwa ndoa nying zina mitafaruku au kuchana au nk.
Maana mtu unaweza ingia na yasiwepo yote hayo.
Ndio haswaa hoja yangu.
Na sio kulazimisha mtu. Mwenyewe mdogo wangu anayenifuata ana 32 yrs wa kiume na hajaoa.
Kila mtu abaki na hoja zake.Kampoteza mke
Tutahama mada bro.Mimi swali langu ni dogo tuu!
Ni lini na kwa vipi Mungu alileta dini?
Na michango ya harusi watatoa, ila sasa waambie unataka kuanzisha biashara umepungukiwa mtaji. Hakuna atakaekuchangia hata buku.Tena wabongo tulivyo wachoyo kuitiana mambo yenye faida ila cha kushangaza ndoa watu wanalazimishana kabisa
1)kampeni kataa ndoa
2)kampeni ya kupiga punyeto
Tutahama mada bro.
Maana najua hautaridhika na jibu na utauliza tena na tena.
awe ameleta au hajaleta.
Awe yuko au hayuko.
Kwangu mm naona ni faida kama nikiamini yuko alaf nisimkute.
Labda watuambie ni wapi aliagiza mgao wa mali kwenye talakaMungu mnamsingiziaga vitu vingi sana. Acheni kumsingizia Mungu vitu mlivyovianzisha wenyewe. ๐
umeelewa nilicho andika mkuu ?Kutooa sio utoto , labda ndio wewe ukue halafu uyaone
Umejuaje kuwa ni watoto , wana tofauti gani na wanaoendesha kampeni za watu kuoa?umeelewa nilicho andika mkuu ?
" nimesema wanao endesha kampeni ya kupinga ndoa wengi wao ni watoto"
Usinipotezee mda, fanya mambo yako kama hujaelewa sio lazima ueleweUmejuaje kuwa ni watoto , wana tofauti gani na wanaoendesha kampeni za watu kuoa?
Kama hauna jibu kausha , kufanya mambo yangu nitafanya kwa wakati wangu na sio wakoUsinipotezee mda, fanya mambo yako kama hujaelewa sio lazima uelewe
Huyo ndio yule baba unayempambania kule Hata najua basi ๐ฎTaja faida za ndoa
Shem Seran jiandae nakupitia. Twende Kilingen ๐บ๐บ๐บ muda umewadia.Huyo ndio yule baba unayempambania kule Hata najua basi ๐ฎ
Naomba nikili kua nachanganyikiwaHuyo ndio yule baba unayempambania kule Hata najua basi ๐ฎ
comments zipite kama ukimwi au virus wa ebola.Kama hauna jibu kausha , kufanya mambo yangu nitafanya kwa wakati wangu na sio wako
Achana na mambo ya kwenye mtandao karibu bia hapaHuyo ndio yule baba unayempambania kule Hata najua basi ๐ฎ