Kazi ya ualimu ni mateso hususan shule za serikali,sijui kwanini serikali wasiboreshe maslahi ya walimuTakriban walimu 200 wa shule za msingi na sekondari Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka Ofisi ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi wakiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya upandishwaji wa madaraja ya mshahara baada ya kukaa kwa muda mrefu katika utumishi bila kupata stahiki hiyo.
View attachment 2766682
#AzamTVUpdates
Wanawafuata wawakilishi waliotumga ilani itakayopngoza nchi yenye ahadi nyingi lakini hewa,ikiwemo kuboresha maslahi ya watumishi wa ummaSasa ofisi ya ccm inahusikaje?
NILIDHANI wameenda MAHAKAMANI
Atakufundishia mtoto huku morali ya kazi hana.............Ndio ushangae watu tunaowaachia wawafundishe watoto wetu ndio wanaoongoza kwa ujinga
chama dolaSasa ofisi ya ccm inahusikaje?
Kutakuwa na tatizo mahali hasa kwenye uongozi hasa kinachofanyw wengine wapandishiwe na wengine waachweDhulma ni kubwa sana kwenye hii kada sijui huwa wanawaonaje Walimu. Intake ya 2012 Kigoma Manispaa walipanda 2019 kwa mara ya kwanza wakat wenzao sehemu nyingine walipanda 2016/17 lakin watu wapo na wanadai wanafanya kazi. Msoto ni mkali kwa hii kada
Ndiyo Huwa inawapa kazi ya kusimamia chaguziSasa ofisi ya ccm inahusikaje?
Madai ya walimu kwenye chama chetu tena ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23]Takriban walimu 200 wa shule za msingi na sekondari Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka Ofisi ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi wakiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya upandishwaji wa madaraja ya mshahara baada ya kukaa kwa muda mrefu katika utumishi bila kupata stahiki hiyo.
View attachment 2766682
#AzamTVUpdates
Only in Tz...elimu elimu, yaani una matatizo na mwajiri ambaye ni serikali, hata hujui taratibu na sehemu sahihi pa kwenda na unakwenda ofisi ya chama utafikiri ndo waajiri wako! Kaazi kwelikweli....kama ndio hivyo, mtafika mmechoka mmechoka sana.Mahakamani bila kupitia ngazi nyingine nao ni ujuha,kuna vyama vya wafanyakazi, hata hiyo approach waliotumia ni sahihi itainua awareness,
ndio nashangaa wanaendaje pale bora wangeenda kwa mkurugenzi ambaye ni bosi wao. Mwenyekiti wa ccm mkoa anajua nini kuhusu ajira zao?Sasa ofisi ya ccm inahusikaje?
Ccm ndiyo inasaini mkataba wa ajira ya mwalimu? Mnijuze mie jamani Nauliza tu.Kwani aliyekwamisha haki yao ni nani?
Siasa chafu zimeanzandio nashangaa wanaendaje pale bora wangeenda kwa mkurugenzi ambaye ni bosi wao. Mwenyekiti wa ccm mkoa anajua nini kuhusu ajira zao?
Dah! Kweli only in Tanzania! Hivi kwa uelewa wako unadhani walimu hawa ni majuha kiasi hicho cha kutojua taratibu! Yaani hatujui wapi tuende? CCM imetufukuza kwa kukosea kwenda kwao!? Hivi mnaelewa namna watendaji kwenye halmashauri wanavyotenda? Hivi unadhani simbachawene bila approach hii angekuja kuyasema aliyosema? Kwa taarifa yako wizara ya utumishi inajua sana ishu hii, na walimu walifika mpaka wizarani (wewe lini ulisikia chochote kuwa walimu wafika wizarani kwa madai halali ya madaraja?)Only in Tz...elimu elimu, yaani una matatizo na mwajiri ambaye ni serikali, hata hujui taratibu na sehemu sahihi pa kwenda na unakwenda ofisi ya chama utafikiri ndo waajiri wako! Kaazi kwelikweli....kama ndio hivyo, mtafika mmechoka mmechoka sana.
Mumuulize sasa huyo mkurugenzi kwanini alikuwa anatetema alipoitwa na mwenyekiti katika hilindio nashangaa wanaendaje pale bora wangeenda kwa mkurugenzi ambaye ni bosi wao. Mwenyekiti wa ccm mkoa anajua nini kuhusu ajira zao?
Nami nikuulize tu, kwa uelewa wako ni nani unadhani anahusika kwa walimu zaidi ya 222 waliotakiwa kuwa promoted 1/5/2023 hawakuwemo kwenye bajeti? (kwa mujibu wa simbachawene)Ccm ndiyo inasaini mkataba wa ajira ya mwalimu? Mnijuze mie jamani Nauliza tu.
Tabu sanaAtakufundishia mtoto huku morali ya kazi hana.............