Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Kazi ya ualimu ni mateso hususan shule za serikali,sijui kwanini serikali wasiboreshe maslahi ya walimuTakriban walimu 200 wa shule za msingi na sekondari Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka Ofisi ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi wakiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya upandishwaji wa madaraja ya mshahara baada ya kukaa kwa muda mrefu katika utumishi bila kupata stahiki hiyo.
View attachment 2766682
#AzamTVUpdates