Utatembeaje na Electric Fence? Ila Umeme ni kiboko nimemuona Kamongo mmoja anatumia Umeme unaotoka kwenye mwili wake kama njia ya kujihami anaitwa Electric Eel akimuua Mamba kwenye Dimbwi huko Brazil.kumbe ni bora kuliko utembe na bunduki au upanga mkali ni bora utembe na electric fence
hizo purukushani unamfanyia akiwa anakuangalia tu!Majini au nchi kavu? Nchi kavu mamba akipata purukushani kidogo ana over heat mapema anaweza akafa... ni cold blooded sana..
Mamba wanatofautiana kwa nguvu na maumbo nina hakika huyo kamongo akijichanganya kwa hawa mamba wa ziwa Victoria amekwishaUtatembeaje na Electric Fence? Ila Umeme ni kiboko nimemuona Kamongo mmoja anatumia Umeme unaotoka kwenye mwili wake kama njia ya kujihami anaitwa Electric Eel akimuua Mamba kwenye Dimbwi huko Brazil.
Simba akimuona Massai na Sime lake anakimbia mbali bila kuangalia nyuma.Nimezunguka mbuga tofauti hapa Tz lakini Simba ni ishu nyingine, nipo kwenye gari namwangalia alimpiga nyati kofi la paja kwa mguu wa mbele hadi akamwangusha
Fanya research kabla ya kubisha.Mamba wanatofautiana kwa nguvu na maumbo nina hakika huyo kamongo akijichanganya kwa hawa mamba wa ziwa Victoria amekwisha
Yale madude nishakutana nayo mara 3 ni mitambo
Yeah mkuu,ila sio Simba wa kila sehemu,Simba wanaokaa na masai mazingira ya karibu kama Ngorongoro hawezi kumsubiri masaiSimba akimuona Massai na Sime lake anakimbia mbali bila kuangalia nyuma.
Nakuambia hivi mamba wa Brazil hawafanani na mamba wa afrika kwenye kila kituFanya research kabla ya kubisha.
Kwenye Umeme hata Nile Crocodile anaipata habari yake, Tembo anauwawa na Umeme.Nakuambia hivi mamba wa Brazil hawafanani na mamba wa afrika kwenye kila kitu
Labda kama unabisha
Ni kweli, wanayama wanatofautiana sana, hata tembo wa Mikumi ni tofauti na tembo wa Tarangire,wanyama wanatofautiana kutokana na mazingiraNakuambia hivi mamba wa Brazil hawafanani na mamba wa afrika kwenye kila kitu
Labda kama unabisha
Hamna documented record ya chatu wa Africa (Rock python) kumeza binadamu. Ila reticulated python ambao wanapatikana bara Asia (na ni wakubwa kushinda wale wa Aftica) ni kawaida kumeza binadamu kule Indonesia na nchi zingine.Acha ubishi ndugu kuna Dereva Msomali alimezwa na Chatu huko Zambia alikuwa ameenda kujisaidia akapigwa Ambush ilibidi Askari wampige risasi yule Chatu nakumpasua na kumtoa yule Marehemu.
Hapa kinachoongelewa ni Wanyama wakubwa hata Simba mtoto hawezi kula mtu au Mamba mtoto ambao huko Kongo ni kotoweo cha Wenyeji.
Fanya research ndugu ubishi wanini?.Hamna documented record ya chatu wa Africa (Rock python) kumeza binadamu. Ila reticulated python ambao wanapatikana bara Asia (na ni wakubwa kushinda wale wa Aftica) ni kawaida kumeza binadamu kule Indonesia na nchi zingine.
Kama anaweza kummeza swala binadamu anashindwaje?Hamna documented record ya chatu wa Africa (Rock python) kumeza binadamu. Ila reticulated python ambao wanapatikana bara Asia (na ni wakubwa kushinda wale wa Aftica) ni kawaida kumeza binadamu kule Indonesia na nchi zingine.
Naombeni mniambie mimi sijawahi kukutana na mamba wala chatu ila nahitaji kujua je ukikutana na Hao Wanyama.
Assume una upanga mkali yupi ukipambana naye Shambani huko ng'anya yake sio ndogo.
Yaani yupi ukijiingiza kwenye mfumo wake wa mtego pambano lake atakuzidi kirahisi na yupi mwepesi kumshinda.i
In addition kwa nilichokiongelea awali, hivi nyinyi mnaujua ukubwa wa simba nyinyi.Naombeni mniambie mimi sijawahi kukutana na mamba wala chatu ila nahitaji kujua je ukikutana na Hao Wanyama.
Assume una upanga mkali yupi ukipambana naye Shambani huko ng'anya yake sio ndogo.
Yaani yupi ukijiingiza kwenye mfumo wake wa mtego pambano lake atakuzidi kirahisi na yupi mwepesi kumshinda.
Mamba ana spidi kuliko Mtu ?? Kweli elimu bahari,.... Em ngoja nivute kiti niketi hapa Mkuumamba ndo survival chance inakaribia 0%
ana spidi kuliko mtu, ana ngozi ngumu, panga halitomdhuru sana
ana bite force kubwa, akikung'ata mahali huchomoi
Simba kama ni dume jitahidi kumnyemelea Kisha mpige dole la kati kwenye sungilo/puru lazima atoke mbio mambo ya LGBQ hapendi
Hizi video za Youtube zimeponza wengi sana Zipuuzwe.