Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

kumbe ni bora kuliko utembe na bunduki au upanga mkali ni bora utembe na electric fence
Utatembeaje na Electric Fence? Ila Umeme ni kiboko nimemuona Kamongo mmoja anatumia Umeme unaotoka kwenye mwili wake kama njia ya kujihami anaitwa Electric Eel akimuua Mamba kwenye Dimbwi huko Brazil.

Na nyingine German Shepherd kajifanya kumg'ata Kamongo akapigwa shoti hadi huruma👇

View: https://youtu.be/Wu9O1BS_9ak?si=I6Umd9L3kEzZiB5m
 
Majini au nchi kavu? Nchi kavu mamba akipata purukushani kidogo ana over heat mapema anaweza akafa... ni cold blooded sana..
hizo purukushani unamfanyia akiwa anakuangalia tu!

Ukikuta yule mjusi amekua ana zaidi ya kilo 800-1000

Unaanzaje kupambana nae na kilo zako 70?

Tegemea kwamba kwenye hizo purukushani wewe ndio utaachwa kilema
 
Utatembeaje na Electric Fence? Ila Umeme ni kiboko nimemuona Kamongo mmoja anatumia Umeme unaotoka kwenye mwili wake kama njia ya kujihami anaitwa Electric Eel akimuua Mamba kwenye Dimbwi huko Brazil.
Mamba wanatofautiana kwa nguvu na maumbo nina hakika huyo kamongo akijichanganya kwa hawa mamba wa ziwa Victoria amekwisha

Yale madude nishakutana nayo mara 3 ni mitambo
 
Kuna jamaa mmoja mtaani kwetu miaka ya 2000 alienda kukata majani ya ng'ombe kwenye shamba la miwa,kulikuwa na mti katikati ya shamba akawa anakata majani chini ya mti,kumbe juu ya mti kulikuwa na chui,ile anamwona chui naye anajiandaa kumrukia,jamaa siyo wa kukimbia,ile anarukiwa jamaa kwa kupaniki akamdaka na gunia la katani,chui akazama ndani kutoka ikawa ishu kucha zimekamatwa na gunia,jamaa speed aliyotoka subaru ikasome
 
Acha ubishi ndugu kuna Dereva Msomali alimezwa na Chatu huko Zambia alikuwa ameenda kujisaidia akapigwa Ambush ilibidi Askari wampige risasi yule Chatu nakumpasua na kumtoa yule Marehemu.

Hapa kinachoongelewa ni Wanyama wakubwa hata Simba mtoto hawezi kula mtu au Mamba mtoto ambao huko Kongo ni kotoweo cha Wenyeji.
Hamna documented record ya chatu wa Africa (Rock python) kumeza binadamu. Ila reticulated python ambao wanapatikana bara Asia (na ni wakubwa kushinda wale wa Aftica) ni kawaida kumeza binadamu kule Indonesia na nchi zingine.
 
Fanya research ndugu ubishi wanini?.
PythonSudan.jpg

Rock Python👆
 
Hamna documented record ya chatu wa Africa (Rock python) kumeza binadamu. Ila reticulated python ambao wanapatikana bara Asia (na ni wakubwa kushinda wale wa Aftica) ni kawaida kumeza binadamu kule Indonesia na nchi zingine.
Kama anaweza kummeza swala binadamu anashindwaje?
 
Usukumani wanaitwa Sawaka na kuna baadhi ya Jamii huwa zinawahusisha na Mizimu na sehemu akionekana Sawaka mkubwa Wazee huenda kutambika.
 
Naombeni mniambie mimi sijawahi kukutana na mamba wala chatu ila nahitaji kujua je ukikutana na Hao Wanyama.

Assume una upanga mkali yupi ukipambana naye Shambani huko ng'anya yake sio ndogo.

Yaani yupi ukijiingiza kwenye mfumo wake wa mtego pambano lake atakuzidi kirahisi na yupi mwepesi kumshinda.i

Naombeni mniambie mimi sijawahi kukutana na mamba wala chatu ila nahitaji kujua je ukikutana na Hao Wanyama.

Assume una upanga mkali yupi ukipambana naye Shambani huko ng'anya yake sio ndogo.

Yaani yupi ukijiingiza kwenye mfumo wake wa mtego pambano lake atakuzidi kirahisi na yupi mwepesi kumshinda.
In addition kwa nilichokiongelea awali, hivi nyinyi mnaujua ukubwa wa simba nyinyi.
Male lions are much larger than females. The length of a female is typically between 4.6 and 5.7 feet, while the length of a male is between 5.6 and 8.3 feet(1.7-2.5 metres.) Their tail length is 27 to 41 inches. Female lions weigh 270 to 400 pounds, while males weigh 330 to 570 pounds(149-258kg)
Hivi mnajua urefu wa Christian Ronaldo ni :Considering Ronaldo's height is 6'2” or 1.87m, his vertical leap during the goal can be measured at approximately 1.06m or 41.7 inches. Yani simba mkubwa amempita cr7 urefu kwa 0.6metres, yani cm60 sawa sawa n rula 3😂😂😂. Mmewai kuuskia mngurumo wa simba nyinyi?? Kumbukeni ukubwa wa simba mkubwa amemzidi ngombe kwa urefu n upana. Acheni mchezo kabisaaa. Binadamu hata 5 kwa mapanga hamtoboi.
 
Simba kama ni dume jitahidi kumnyemelea Kisha mpige dole la kati kwenye sungilo/puru lazima atoke mbio mambo ya LGBQ hapendi, Kwa upande wa mamba jitahidi upapase jicho lake lazima akuache
 
Back
Top Bottom