Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Mimi nimeshakutana na simba, ombea ukutane na simba labda wapo pride (kundi lina majike na madume na watoto). Hilo kundi ujue lina uhakika wa kula.

Sasa katika vitu usiombee ni kukutana na mbarara (simba dume vijana ambao hufukuzwa kwenye pride na baba yao). Hawa huwa wana njaa mda wote maana kuwinda kwao ni changamoto.

Simba jike aliejitenga na pride ili azae na kukuza kwanza watoto. Usiombee pia.

Ila yote ya yote katika mapori haya usiombe kukutana na kundi la mbwa mwitu. Hao ukiwaona kwa mbali wala usikimbie tafuta tu mti upande.

Hawa wakikukamata wanaweza kuwa wameshakukula robo tatu ya mwili wako kabla roho yako haijatoka. Yani unaliwa huku unajiona.
 
Ni rahisi kumtime kwenye hiyo ngozi ya chini sio?! Hivi mnaongea stori ama uhalisia? Hao viumbe Chatu na Mamba ni hatari sana unless uwe na madawa.
 
hawa ni kiboko ya fisi
 
Pia kuna hiki kisa huko India👇

A non-venomous reticulated python, one of the world's largest snakes, was seen devouring a cow in India, prompting a farmer to lasso its head in an attempt to remove it from the property.24 Oct 2023
 
Hebu tafuta Anaconda au Titanaboa wa Congo halafu njoo tujadiliane

Midomo ya hawa Viumbe sio kama yetu yao yanauvaa mlo kama Kikoi kinavyomvaa Mpemba.
View attachment 2926587
View attachment 2926589
👆 Taya zao huwa zinatanuka.
Ni sawa lakini, kwa ng'ombe itampa shida sana. Na hawezi kumeza ng'ombe. Chatu atameza sana sana swala, mbuzi, ndama, mbwa na binadam mara chache sana hadi akuotee.
 
Kwanini upambane nao
 
Yaaah chatu hawezi kumeza ng'ombe mzima mzima, labda ka ndama, mbuzi, swala. Na anapenda sana Mbwa. Chatu akishakuotea huchomokiii.
Wewe unaongelea wale Chatu wa Bahi walokondeana kuna Chatu wa aina nyingi Kuna Burmese Pythons Rock Pythons kuna Anaconda kuna Green Anaconda na hapo nimewasahau Boa Constrictor.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]akukague nini?
 
Ni sawa lakini, kwa ng'ombe itampa shida sana. Na hawezi kumeza ng'ombe. Chatu atameza sana sana swala, mbuzi, ndama, mbwa na binadam mara chache sana hadi akuotee.
A non-venomous reticulated python, one of the world's largest snakes, was seen devouring a cow in India, prompting a farmer to lasso its head in an attempt to remove it from the property.24 Oct 2023

Huko India👆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…