Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Hujawahi kukutana na mwanamke eeh
 
Kupata kichekesho hiki tubonyeze namba ipi?
 
Kuna dereva wa Dangote pia hapa Bongo aliwahi kumezwa alishuka kujisaidia porini huko. Stori yake ipo hapa JF.
 
Kuna dereva wa Dangote pia hapa Bongo aliwahi kumezwa alishuka kujisaidia porini huko. Stori yake ipo hapa JF.
Nimewahi kusikia Simba kajeruhi au Mamba kajeruhi lakini sijawahi kusikia Chatu kajeruhi. Chatu ukiingia kwenye Ambush spot yake lazima ufe.
 
Chatu wakubwa hawapatikani Afrika!

Reticulated pythons wanapatikana Southeast Asia. Hawa ndo chatu wakubwa zaidi duniani.

Burmese pythons wanafuatia kwa ukubwa. Hawa wanapatikana kwa wingi huko South Asia.

African rock python ni wa tatu kwa ukubwa. Hawa ndo wanapatikana Afrika.

Chatu hawashambulii watu tu bila sababu. Binadamu hatupo kwenye food chain yao.

Mpaka chatu akushambulie, ni lazima utakuwa umemchokoza au kakosa kabisa chakula.

Hata hivyo, ili chatu akuone wewe kama chakula, ni lazima awe mkubwa sana na wewe uwe na umbo dogo.

Documented cases za chatu kumeza binadamu ni chache mno na zote nizijuazo zimetokea Indonesia huko na zinahusisha reticulated pythons.
 
Ana meno mengi kuliko Simba na Mamba halafu mwili wake wote ni Misuli tupu ya kunyongea
View attachment 2927068
Meno ya chatu ni kwaajiri ya kukamata tu yaani ku Hold sehemu aliyobana usichonoke (Holding Teeth) tofauti na meno tunayozungumzia ya Simba au Mamba.

Meno ya Simba yanapasua all body tissues, yanavunja mpaka fuvu la binadamu au mnyama.
 
Kupata kichekesho kingine kama hiki bonyeza *😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…