ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
- Thread starter
-
- #161
We Jamaa fara Sana watu wanawaza kukutana na Michongo ya Hela wewe unawaza kukutana na Chatu mbwa wewe
Nauomba huo uziKuna dereva wa Dangote pia hapa Bongo aliwahi kumezwa alishuka kujisaidia porini huko. Stori yake ipo hapa JF.
Story hizi za simba ni za vijiweni.Kila mnyama ana weekness yake chatu mbio hana, mamba nchi kavu mgambo tu hana jipya, simba ukimwangalia directly machoni ana aibu kama unamtongoza si ajabu akaanza kutafuna vidole na kuvunja vijiti ila ombea usikutane na nyegele ni mpaka akukague we ni jinsia gani
YourI assume unaongelea kila mnyama kwenye natural habitat yake
Bwana krokodilo akiwa kwenye maji chances za wewe kutoboa ni negative -0
Bwana krokodilo akikukuta mtoni ni kama bayern leverkusen plus hata sare hupati
Bwana krokodilo akiwa kwenye maji ni kama anapaa
Bwana krokodilo is a pure reptile sio simba ana huruma kuna video kibao simba anaacha swala na chatu akishiba anaacha kula analala but no Bwana krokodilo will fack you up akiwa na njaa and he will still fack you up akishiba just for fun
Bwana krokodilo has so much germs on the teeth akikungata hata ukichomoka for instance( hii ni nadharia hutochomoka hata iweje) pale ulipong’atwa pataoza
Bwana krokodilo hana mikono fresh ya kushika ili ang’ate so ili kukutenganisha anakuzungusha kwenye maji na kukupiga piga juu ya maji mpaka ugawanyike
Man
Mamba will fack you up bad
Halafu kwa ile ngozi panga ni kama mbao butu you’re weapon is useless to mamba
Huyo chatu ni zombieKupata kichekesho hiki nibonyeze ngapi?View attachment 2927432
We Zombie S2KIZZY uje huku umuone ndugu yakoHuyo chatu ni zombie
Nyegere mbona kadogo kale si unakanyaga tuKila mnyama ana weekness yake chatu mbio hana, mamba nchi kavu mgambo tu hana jipya, simba ukimwangalia directly machoni ana aibu kama unamtongoza si ajabu akaanza kutafuna vidole na kuvunja vijiti ila ombea usikutane na nyegele ni mpaka akukague we ni jinsia gani
Haumjui nyegere akikujambia ndio utaelewaNyegere mbona kadogo kale si unakanyaga tu
Chatu ukimuona usikimbie lala chini hawez kufanya loloteNi bora ukutane na Mamba mwenye njaa au Simba mwenye njaa unaweza kupanda Mti ulio karibu nawe lakini Chatu anapanda Miti aina zote.
Panga unalitumia akishakumeza unamchana tumboUkishafanyiwa ambush panga unalitumia vipi mzee, sio chatu mimi nije nikukumbatie hapo kwanguvu alafu uwone kama utaweza nipiga na panga lako
Nyegele? Ndo mnyama huyo?Kila mnyama ana weekness yake chatu mbio hana, mamba nchi kavu mgambo tu hana jipya, simba ukimwangalia directly machoni ana aibu kama unamtongoza si ajabu akaanza kutafuna vidole na kuvunja vijiti ila ombea usikutane na nyegele ni mpaka akukague we ni jinsia gani
Akikungata utaamka tu.Chatu ukimuona usikimbie lala chini hawez kufanya lolote
😂😂😂 pumbavu sasa ukimuona siunaondoka ulale ili iwejeChatu ukimuona usikimbie lala chini hawez kufanya lolote
Ina depend na Aina ya mamba, Size ya mamba pia na Size ya Nyoka maana kuna aina tofauti za mamba ambazo pia zina Size tofauti pia kuna umri wa mamba husika na nyoka.Chatu anamla hata Mamba kuna picha moja huko Florida Everglades Mamba aliliwa na ubabe wake.
💪Chatu Bingwa.
View attachment 2928046
Chatu akijimezea kitoweo cha Mamba bila buguza.
Uzuri hana sumuAkikungata utaamka tu.
Chatu utamuweza. Hana mbio ya kukushambulia, kukupata ni mpaka akuvizie
Unamkata hapo kichwani
Simba ndo atakumaliza kirahisi, ana nguvu, mbio kuliko wewe,
Kucha 1.5 in kama nyembe, akikurukia na kilo zake 200+ utadondoka tu
Na pia unakuwa umejengewa 'fear trigger' ya kumuogopa simba, anavyosimuliwa, ukimuona kwenye video,
kwahiyo mkikutana macho kwa macho utakuwa na hofu kubwa, hutoweza kufikiri haraka haraka