Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

Unasmile na ulienda form 6.[emoji276][emoji276]
The issue hapa ni kusaidia teenagers kujitambua ingekua form 6 inakuza akili tusingekuwa na dropouts kibao wa unplanned pregnancies na STIs.
Mchana mwema mkuu

For 5 & 6 inampa mtoto fursa ya kukua kimtazamo, na kujisimamia, sio mengine, watoto wangu lazima wapite 5& 6.
 
Kati ya kwenda hge hgk au kwenda chuo course ya bussness administration au human resource qu accountancy ipi ni bora zaid naombe msaada
kwanza jifunze kuandika vizuri, hge na hgk ndio nini, hivi shule umesoma wapi wewe. Vitoto vya siku hizi ni vizembe vizembe ndio maana umekuja kuuliza humu, we ni mvivu na mzembe.
 
Mwache aende advance tu! Chuo ni mlolongo mrefu kuja kuifikia degree plus gharama
Nadhan advance ni nafuu kidogo
Advance serikalini nafuu sana ila vijana wengi hutaka chuo sababu ya kuwinda uhuru na pocket money ya kutosha ya kujirusha

Kijana unakuta anachagua chuo huku wazazi wake maskini na chuo lazima akalipie
Na mzazi akilipie chuo mtoto akienda chuo kikuu hapati mkopo bodi ya mikopo sababu inaonyesha wazazi wana uwezo walimsomesha private chuo

Anasababisha usumbufu juu ya usumbufu wakati angeenda advance wazazi wake wangepumua

Kozi zenyewe akichagua kusoma ndizo hizo za arts hazina cha ajira wala kujiajiri si heri tu angeenda advance mzazi apumue hiyo miaka miwili akivuta pumzi ya chuo kikuu
 
[emoji276][emoji276] kwanini unaassume kila mtu ni kijana maskini?
Halafu wazazi wanapumuaje [emoji102]na akikosa mkopo?
 
vipi kwakijana wa miaka 18 anaetaka kusomea udokta vyuo vyakati unamshaulije?
Hakuna chuo cha kati kinafundisha udaktari hakipo.Kozi wanazotoa ni za tabibu yaani clinical medicine

Hao hata kupata chuo kikuu shida sio rahisi akaongia kusomea kozi ya udaktari chuo kikuu kama Muhimbili,nk

Ni kupotezea muda mtoto kama akili.imo aende advance moja kwa moja

Kuna vyuo vya kati waongo waongo course hiyo ya clinical medicine husingizia eti ni kozi ya udaktari waongo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama hana uwezo wa kupata div 1.3-1.6 aache hiyo a level.
Clinical medicine is okay lol.
 
Ushauri wangu kwako, kwa mujibu wa maelezo yako ni wazi kuwa.... unatokea familia yenye uwezo wa kati.
Kwenda chuo na advance ni maamuz unayotakiwa kufanya baada ya kujua faida na hasara za pande zote mbili.

Lakini ushaur wangu kwako, nenda VETA katafute ujuzi, siku izi elimu kama ya chuo imebaki kuwa kama status ya usomi...... Ili hali wengi wa wasomi hawana sifa ya kuitwa wasomi kwa kuwa hawana hakika na uelewa mpana kuhusu hata walichosomea.

Nilishangaa kuna binti mmoja, alisoma chuo X course ya Business administration lakin alipoulizwa inahusiana na nini akawa anapiga kona na dana dana nyingi.

Tafuta ujuzi, kujiari si kazi nyepes kama unavyodhani.....na ajira pia zimekuwa changamoto.....Fanya maamuz sahihi.
 
Hakuna chuo cha kati kinafundisha udaktari hakipo.Kozi wanazotoa ni za tabibu yaani clinical medicine

Hao hata kupata chuo kikuu shida sio rahisi akaongia kusomea kozi ya udaktari chuo kikuu kama Muhimbili,nk

Ni kupotezea muda mtoto kama akili.imo aende advance moja kwa moja

Kuna vyuo vya kati waongo waongo course hiyo ya clinical medicine husingizia eti ni kozi ya udaktari waongo
unujua mkuu mdogowangu kapasua 2 Sasa mpango wake alitaka akasome masomo ya sayansi advansi

sijui kimetokea kitu gani wakamchagua dogo kwenye Kombi ya HKL badala ya Kombi za sayansi.mzee akaenda kufatilia Ili dogo apewe Kombi anazotaka wakagoma wanasema haiwezekani kubadili.

dogo kemia kapata c math c fiz c bioz c
mzee akaona amtafutie chuo Cha afya akasome udokta na dogo amekubali kishingo upande mana alitaka kwenda adivansi
 
Back
Top Bottom