Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Aendelee na form five.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aendelee na vyote.Jaman nina rafiki yangu yeye alikiwa amendable tuition ya pre form 5 course ya HGE lakn serikali imempangia chuo kozi ya business administration je aende chuo au aende advance umri miaka 19 naomben maoni
Hizo ni swaga tu za JF, hakuna anyesemaga ni yeye, code ni rafiki yangu.Sasa Kama ni rafik yako iweje ushauri utafute wewe?
WakiumeRafiki yako ni mwanamke au ?
Nenda Advance HGE uje ule mema ya nchi na chuo kasome Bachelor ya Economics au Economics and Statistics.Kati ya kwenda hge hgk au kwenda chuo course ya bussness administration au human resource qu accountancy ipi ni bora zaid naombe msaada
Asante kakNenda Advance HGE uje ule mema ya nchi na chuo kasome Bachelor ya Economics au Economics and Statistics.
Oy bro, nilikuwa naomb nifanye mazungumzo zaidi na ww, kuhusu koz za Uhasibu.Accountancy iko poah karibu (MoCU)_ ushirika moshi nitakuwa mwenyeji wako