YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Huyo dogo kaonewa sanaunujua mkuu mdogowangu kapasua 2 Sasa mpango wake alitaka akasome masomo ya sayansi advansi
sijui kimetokea kitu gani wakamchagua dogo kwenye Kombi ya HKL badala ya Kombi za sayansi.mzee akaenda kufatilia Ili dogo apewe Kombi anazotaka wakagoma wanasema haiwezekani kubadili.
dogo kemia kapata c math c fiz c bioz c
mzee akaona amtafutie chuo Cha afya akasome udokta na dogo amekubali kishingo upande mana alitaka kwenda adivansi
Na mzazi kakosea alitakiwa ampleke advance shule ya Private yenye hizo combination zake baada ya serikali kuleta za kuleta na kumuonea
Serikali hawajamtendea haki na mzazi hajamtendea haki
Ila dogo yuko sahihi kabisa serikali na wazazi wamemkosea sana