Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

Huyo dogo kaonewa sana
Na mzazi kakosea alitakiwa ampleke advance shule ya Private yenye hizo combination zake baada ya serikali kuleta za kuleta na kumuonea


Serikali hawajamtendea haki na mzazi hajamtendea haki
Ila dogo yuko sahihi kabisa serikali na wazazi wamemkosea sana
 
dah ndio hivyo mkuu.kwani mkuu tofauti ya udokta na klniko medicn ni ipi?
 
Mkuu naomba unielekeze tofauti kati ya hizo kozi ya cliniko na udaktari.
Kwanza chuo
Daktari ni mtu mwenye digrii ya udaktari na aliyesajiliwa na bodi ya madaktari Clinical Medicine officer hatambuliwi na bodi ya madaktari kama daktari

Daktari husoma mambo mengi .Kwenye udaktari Clinical medicine ni mojawapo tu ya kozi mojawapo wanayosoma madaktari kati ya kozi nyingi mno wanazosoma.Hiyo ni.mojawapo tu.Tena ndogo tu.


Clinical medicine ni tabibu anayeshinda na mgonjwa moja kwa moja hana tofauti sana na nurse yeye achoongeza ni ujuzi kidogo wa dawa

Clinical medicine ni nusu mfamasia na nusu nurse ndivyo course zile zilivyokuwa designed ni kakinyonga fulani hivi.Kwenye ufamasia ha fit na kwenye udaktari ha fit yuko katikati. LAKINI SIO DAKTARI ANAITWA MUUGUZI

Ila wodini anafaa sababu anajua dawa kidogo na unurse kidogo

Kwa mazingira kama ya vijijini kusiko na madaktari hao huitwa ma daktari na wenyeji wa vijijini kusiko na daktari LAKINI NI WAUGUZI KWA TITLE YAO SIO MA Dokta

Ila sio madokta wako kundi moja na ma nurse na wakunga wenye diploma
 
Kozi gan bora kati bussness administration na accountancy na human resource
Kwa level ya diploma hamna kitu zote bure kabisa ni kusukuma tu siku ziende mtu aseme alisoma diploma

Ila zinafaa kwa waliofeli form four wanaojiandaa kwenda kusoma vyuo vikuu vya kata vinavyopokea wanafunzi waliomaliza diploma wanaotaka kujiunga vyuo vikuu vyao vya kata
Wakimaliza hizo diploma zao hupokelewa na vyuo vya kata.Sivitaji.Huko ndiko hujazana na vi diploma vyao

Vyuo serious hapokei waliosoma diploma. Wata disco wote mwaka wa kwanza .Uwezo wao mdogo mno
 
Uwe na siku njema.
Asanten kwa ushauri wenu mim nmeamua kwenda chuo kati ya kozi izi 2 bussness administration au accountancy nmechaguliwa na TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY company ya dar labda naomba uxhaur niende accountancy au bussness administration ipi ni the best hp
 
Nenda accountancy utaajiriwa kwenye halmashaur
 
Afate ndoto yake kuna watu elimu hiihii imewatoa.
Just because mtu ameshindwa kuelezea course yake.
Life doesn't work like that apparently
 
Advance asingetoboa
 
Uache kutumia x badala ya s we mkubwa
 
Jaman nina rafiki yangu yeye alikiwa amendable tuition ya pre form 5 course ya HGE lakn serikali imempangia chuo kozi ya business administration je aende chuo au aende advance umri miaka 19 naomben maoni
 
Jaman nina rafiki yangu yeye alikuwa anasoma pre form 5 ya Kozi HGE ila yeye kapangiwa chuo cha TIA kozi ya bussness administration je aende iyo kozi aliyopangiwa inasoko au aende advance ya private msaada tafadhali wakuu
 
Rafiki yako ni mwanamke au ?
Jaman nina rafiki yangu yeye alikuwa anasoma pre form 5 ya Kozi HGE ila yeye kapangiwa chuo cha TIA kozi ya bussness administration je aende iyo kozi aliyopangiwa inasoko au aende advance ya private msaada tafadhali wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…