Nilitaka niseme hivohivo, kwa tokeo hilo la o level, advance asingetoboa kwenda udaktari, Mimi nilipata 1.10 o level, advance 1.7 pcb, mwaka huu sio poa nimeapply doctor of medicine vyuo vinne round ya kwanza nimekosa, round ya pili nimeongeza vyuo vikawa 8 jumla, nikapata kimoja ambacho Ada yake kubwa mno (KIUT 7.2M per year) , sikureject nikaapply round3 nikakosa kote Tena, ikabidi tu nicomfirm kiut, na mkopo nimekosa, Yani maisha yanaenda hivohivo kwa shida....1.7 PCB kupata udaktari ni ndoto labda Kampala au st Joseph 💔💔