Kati ya Hekima na Fedha Kipi ni Muhimu Kuliko Kingine?

Haya tunayaishi ila the world has full of troubles! Ukiona umefikia point ambayo unaona pesa sio kitu jua you are at the point in life ambapo umesha give in ama you are filthy rich!
Mali ni muhimu lakini ukicompare na Hekima,Hekima is far important.

Just assume you are very rich and you have very stupid son,will you be happy coz unajua hata awe mpuuzi vpi mpunga upo au utapambana kidogo akili yake ikae sawa?
 
Mali ni muhimu lakini ukicompare na Hekima,Hekima is far important.

Just assume you are very rich and you have very stupid son,will you be happy coz unajua hata awe mpuuzi vpi mpunga upo au utapambana kidogo akili yake ikae sawa?
Le Mutuz atakuwa na majibu
 
You sound logical mkuu,

Naongezea:
Mataifa masikini yanavyokopa Ulaya huwa yanatumia hekima au pesa kupata mikopo?
 
Nitakubali kuchukua hekima endapo tu hiyo hekima itaniwezesha kuipata hiyo pesa.
Mnadhani Mwl. Nyerere alikuwa na maana gani alipoandika kwamba "Pesa Siyo Msingi wa Maendeleo?"

Wachaga na Wahindi walionunua kitabu cha Mwl chenye falsafa hii walichana kurasa zenye mada hiyo na kubakisha zingine. Mmoja wa Mchaga aliyefanya hii ni Mwalimu wangu Tr. Tarimo aliyesoma ECA akaja kuwa Mhasibu na baadaye Mkaguzi Mwandamizi wa Ndani wa Hesabu.

Mnadhani Mwl. Nyerere alikuwa na maana gani alipoandika kwamba "Pesa Siyo Msingi wa Maendeleo?"
 
Kwa nini walichana ?

Na msingi wa maendeleo ni nini kwa mujibu wa mwalim nyerere ?
 
SIku za mwisho watu watakuwa wenye kupenda fedha, wenye kujependa wenyewe kuliko kumpenda Mungu na ndugu zao, wenye tamaa ya ngono kupita kiasi, watawakiana tamaa wao kwa wao,
๐๐ข๐ฆ๐ž๐ค๐š๐ซ๐ข๐ซ๐ข ๐ก๐š๐ฒ๐จ ๐ฆ๐š๐ง๐ž๐ง๐จ ๐ญ๐ฎ ๐ข๐ฅ๐š ๐ฌ๐ข๐ฃ๐ฎ๐ข ๐ง๐ข ๐ค๐ข๐ญ๐š๐›๐ฎ ๐ ๐š๐ง๐ข ๐ง๐š ๐ฌ๐ฎ๐ซ๐š ๐ฒ๐š ๐ง๐ ๐š๐ฉ๐ข ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐›๐ข๐›๐ฅ๐ž,๐“๐ฎ๐›๐š๐๐ข๐ซ๐ข๐ค๐ž ๐ฃ๐š๐ฆ๐š๐ง๐ข
๐€๐ฌ๐š๐ง๐ญ๐ž๐ง๐ข
 
Nimeandika kichina au? Ndio maisha yalipofikia mtoto wa miaka 14 mwenye hela anaheshimika kuliko baba wamiaka 45 asiye na hela[emoji28]

Tuhakikishe tunapata hela tu! Dunia haina huruma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Naamini Ukiwa Na Hekima Hata Pesa Utazipata Pitia Hekima Hizo Maana Dunia Ina Watu Wapuuzi.

Kwa Hekima Utaweza Kuwa-Manupulate Hawa Wapuuzi Na Kupata Pesa.

Heri Ya Christmas Kwenu Nyote.
Uta ziuza au[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu,
Mbona Nyerere, Nkrumah na Mandela wamestaafu hawana ela ila hekima, na bado wanavuma kuliko wenye ela? Hii inakuwaje?
Elon musk humjui?? bill gate?? Jef Amazon huwajui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenye hekma ndo anavyo ivo vitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ