Kati ya Jay Moe na Fid Q nani mkali?

Fid Q bwana japo Mo naye mkali.
Sihitaji marafiki
Ripoti za mtaani
 
Hupendi mambo mengi ndio uzuri wa wakishua ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… angekuwa uswazi dotcom mbona ningekoma walahi
Hahahaa sema hamkomagi, mnawafata hivyo hivyo mkihisi labda watabadilika af badae wakiwamalizia hela mnalalamika๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hahahaa sema hamkomagi, mnawafata hivyo hivyo mkihisi labda watabadilika af badae wakiwamalizia hela mnalalamika๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Sio wachumi, mtu unamuuliza kabla hajafika, inakuwa nzuri akisema Savanna mbili, unachukua cha ten, ikiisha tena mnafunga safari, acha kadi ya bank home, no connection ya simbanking na salio kwenye mpesa na simu unaacha home kabisa.. Ikiisha tena lazima muondoke
 
Bado hajasema ana njaa hajala toka jana, na pisi umeielewa imekamilika kila idara aah mbona utafata tu kadi home hata na boda boda
 
Bado hajasema ana njaa hajala toka jana, na pisi umeielewa imekamilika kila idara aah mbona utafata tu kadi home hata na boda boda
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Kula akapike kwake ale.. Hatutakiwa wanawake wavivu, wanawake chuma ulete
 
Baba yangu ndo mkali namjua tangu nikiwa mdogo japo sikuhizi amekuwa mpole sana sijui รฑi uzee ama analazimika kutokana na kupata wajukuu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ