Ndo maana nimesema watoto wa 2010 kama nyinyi lazima utasema mkali fidQ kitambo hicho anatafutwa mkali wa mistali jay mo anashindanishwa na wakali wenzake wakina afande sele na kina profesa jay huyo fidQ wako bado yupo mwanza analima sikiliza ngoma kama maisha ya boarding pia sikiliza ngoma kama mvua na jua zote hizo zinaishi mpaka dunia tutakufa wote lafu kasikilize ngoma kama ulimwengu ndo mama ndo utamjua vizur jay moHakimbizi vizazi vyote acha kudanganya watu.
Alafu mtu anakwambia fidQ mkali kuliko jay mo kama hiyo ngoma ya kwanza jamaa katumia akili sana kutunga anawasimulia story jamaa zake maskan jinsi alivyo opoa mtoto jamaa kichwa sanaList Ya Jay Moe.
1:Mpenzi kwa heri ft Tid
2:Mvua na jua
3:Maisha ya boarding.
4:Mshamba
5:Cheza kwa steps
6:Kimya kimya vs Ngwea
7:Stori tatu.
8😛esa ya Madafu
9:Famous ft p funk.
10:Kama unataka demu ft solo thang&sir nature.
Umesahau safari njema ft complexMaisha ya boarding
Mvua na jua
Kimya kimya
Pesa madafu
Famous
Kama unataka demu
Cheza Kwa step
Hili game
Nisaidie kushare
Wewe Bishoo
Ulimwengu ndio mama
Kweli zamani mziki ulikuwa mzuri ndomana mziki wa zamani unaishiUlimwengu ndio Mama.
Mo Tech.
Na ipo wazi mambo nazi nazi kidume napanda ngazi.Umesahau safari njema ft complex
Ova
Nitajie hits song za father Nelly 10 kuna elfu 10 ya maji hapaWote wa kawaida
Tz hip hope ni
Father Nelly
Sugu
Prof jay
Ni ao tu wengine watoto Wadogo hawana wanachoimba
1. BishooTufanye kulist hit songs za kila mmoja
Naanza fid Q
1. Am professional
2. Mwanza mwanza
3. August 13
4. Ielewe mitaa
5. Propaganda
6. Ulimi mbili
7. bongo hiphop
8. Utaua game
9. Danger
10. Shimo limetema
11. Usinikubali haraka
13. Maselabration
14. Tajiri yangu
15. Temanoleji
16. Bendera ya chuma
17. Sumu
18. Ole chizza
19. Neno
20. Mwanamarundi
21. Ripoti za mtaa
22. Ngosha the swager don
Mje na list kama hiyo[emoji115] kuthibitisha ubora wa hao mnaowaweka mizani na FID Q sio kelele tu
Mtu aje na list ya jay Mo mchopanga tafadhari[emoji120]
Ni mshambaaaa mshikaji kumbe Simbaaaa maishaani. Pini za Jay Mo na Nature nimechana sana kwenye maconcert o levelNilikuwa na upala wakaniona bishoo
Kama unataka demu mkali... Bishoo😅😅😅
Hapo ujakuta na Ni mshamba - Jay Moe feat Juma Nature
1986 ni mtoto wa juzi kabisa wewe. Tumeanza kufatilia Hip Hop tangu enzi za Yo! Rap Bonanza, za marehemu Kim Mgomelo akina Adili Kumbuka,Ibony maalim. Enzi za Weusi Wagumu Asilia. Too Proud akiwa wamoto. Kiroboto kabla ya TMK, Enzi za Don Bosco, Soundcrafters na Mawingu. Majani akiwa bado anarap na Master J akiwa ulaya masomoni.Ndo maana nimesema watoto wa 2010 kama nyinyi lazima utasema mkali fidQ
Ngoma kali sana ileNi mshambaaaa mshikaji kumbe Simbaaaa maishaani. Pini za Jay Mo na Nature nimechana sana kwenye maconcert o level
Jay mo ni mzuri sana ila sio kwa ngoshaComplex na Vivian dah! long time sana.