Kati ya Mama na Mke Nani anapaswa kukaa Siti ya mbele wakati unaendesha Gari?

Naunga mkono hoja, kuna aina mbili za familia.
1. Nucleus Family
Hapa familia ni baba, mama na watoto. Hizi ni familia za kizungu, wazazi, uncles na aunts sio sehemu ya familia na wakizeeka wanakuwa abandoned kwenye nursing home till death do them away!. Usually familia za hivi zina standard car ya 4 seater, baba na mama mbele, watoto wawili seat ya nyuma. Babu na bibi wakija for visit, they rent a 7 seater, baba na mama wanakaa mbele, watoto wanakaa seat ya pili, babu na bibi wanakaa seat ya nyuma.

2. Extended family
Baba, mama, bibi, babu na watoto.
Hizi ni typical African family, mtu muhimu kuliko hata wewe ni baba na mama, mke, watoto.
Wazazi wakija seat ya mbele unakaa na baba au Mama, mke na Mama au baba seat ya pili na watoto wanakaa kule mwisho.

Akija kaka yangu au ndugu yangu, mke anakaa nyuma na watoto.

Kiafrika undugu ni wa damu tuu, hivyo ndugu ni baba Mama waliokuzaa, wale mliozaliwa nao na watoto wenu, mke sio ndugu na ndugu wa mke ni jamaa tuu!.

Mke ni mtu tuu wa kuja na kupita, anaweza kuachwa ukaoa mwingine au wakaolewa hata wake 10!. Familia za hivi wazazi ndio muhimu zaidi, mama akija home, mke lazima ajishushe kumpisha mama in control.

Wazazi wakizeeka wanakuwa taken care na watoto kwa upendo mpaka siku yao ikifika.

P
 
Ungemwuliza na swali hili;
Kwa mfano unakaa nyumba ya chumba kimoja na sebule wewe na mkeo, halafu mama yako akakutembelea, Je, utamwambia mkeo ampishe mama yako ulale naye kitandani na yeye alale sebuleni?
Nafasi ya mwenza (mke/mume) haipokonywi.
 
Kwanza mama ndie alitakiwa kuliendesha hilo gari.! Nimemaliza[emoji124][emoji124][emoji124]
 
mama mkwe wako ni muelewa
 
wa hivyo unampotezea itafika mda atachoka,mi hata akitaka amfulie mwanae namuacha tu(sina mamamkwe wa hivyo)
 
Natumaini hiyo gari ni saluni, mke atakaa mbele. Ikiwa ni pick up, na kiti ni kimoja, Mama atakaa mbele au kama mke anaweza kuendesha, basi mume atakaa nyuma. Kama pick up ina kiti kipana, wote watakaa mbele.
 

πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ

Umeongea vizuri kabisa
Hasa Kwa ndoa za kimila.
Ila hizi ndoa za Kikristo na ndoa za kisasa ambazo ukioa MKE sio kwamba ndio anaondoka kwao moja Kwa moja hapo lazima migigoro izuke.

Mama na Baba zake wakija nao watataka Favour hizohizo unazowapa Ndugu zako.

Sio ajabu Kuna kasumba ya Wanawake kuwachukia Ndugu wa mume ikibidi na mume mwenyewe na kumfitinisha Mumewe na watoto Kwa kile kiitwacho kutokakuwa na HAKI katika ndoa hasa Kwa mambo madogo kama hayo.

Kiafrika MKE sio lolote na wala sio chochote, ndio maana anashika nafasi ya tatu au ya nne ndani ya familia. Yaani Mume anathamini wazazi, kisha Ndugu, alafu Watoto mwisho ndio MKE.
Mtiririko huo umeathiri Maendeleo ya Afrika na ustawi wa Baba hasa anapozeeka.
Watoto humchukia na kumuona Baba katili na Hii yote ni kutokana na kuvunja mtiririko sahihi wa itifaki ya familia.

Wanaume Wakiafrika tunachoshindwa kuelewa kuwa Mke sio Ndugu lakini ni Mama wa Watoto tunaowazaa. Na hakuna asiyejua kuwa Future yetu ipo Kwa Watoto. Kama hutomthamini MKE na kumuweka nafasi yake basi ni wazi future ya Baba Huko mbeleni itakuwa hatarini, Watoto sio ajabu wakamuweka Baba katika nafasi za mwisho Huko.

Ubinafsi wa Waafrika ndio unawafanya waafrika Wasiendelee, na kurithishana utajiri wa Mali na utamaduni.
 
Weee nakaa mbele na mke wangu, Mara kasketi kamajivuta naona upaja kwa mbali, Mara kakaa kiupande upande hips limenyanyuka burudani barabarani. Mama kukaa siti ya nyuma haimpunguzii upendo na heshima. Duuu sina gari Nina bodaboda hiyo siti ya mbele naitoa wapi?
 
Shemeji tu nae anakaa mbele mke nyuma hii nchi ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…