Kati ya mhitimu wa VETA na mhitimu ya kitivo cha Uhandisi utamwajiri yupi?

Nani kakuambia mhandisi afanyi practical implementation courses ? Acha ujuaji WA *******
Acha usenge, hapo chuoni kwako mlikuwa wanafunzi wangapi, walimu wangapi, vifaa vya kufundishia vipingapi na wasimamizi wangapi wenye elimu gani wa field practical kuwafanya wote muwe competent kwenye hands on? Uwiano wa wanafunzi na walimu ukoje kwenye kitovo chenu?. Hata serikali yenyewe haiwaamini wahitimu wake, incompetents. Kazi zote wanazoa wachina.
 
Awajui ata kupanga tofali
 

Hakuna Ramani inayodesigniiwa na vijana wa veta .
Ramani zote zipo mpaka kwenye mitandao .
Kujenga ni tofauti na kudesign .

Nyumba zote zinazojengwa na ma local fundi zimepinda.

Kama wewe sio Engineer ikiziona unao zipo sawa lakini zimepinda na zimejengwa chini ya kiwango.
 
Zinapinda nn bhanaa, mm nawaona wana kobilo (bob) na pimamaji zao wananyoosha maukuta, safi kabisa watu wanazaana humo kuanzia babu hadi wajukuu zao.
 
Sawa, na ndo hao ukiwaacha peke yao wanasepa na simenti, na matokeo yake ndo yale maghorofa ya Kariakoo kubomoka..!! Mnachukulia vitu simpo simpo sana ujuwe..!!
 
Nonesense ,huna unachokijua kwenye engineering wewe ,kabishane Simba na yanga huko ,acha kuandika vitu vya kipuuzi visivyo na real proofs , Engineer WA Ujerumani na China wanashika nyundo ? ,Una akili au mavi kwenye fuvu wewe ? ,Unajua kazi ya Engineer na technician na artisan ,au naongea na kilaza wa human resources management
Ukienda china viwandani kazi za electronics assemblies zinafanywa na watu illiterates kabisa wasio na elimu , kazi za hands on kama constructions huko zinafanywa na artians wachache na watu unskilled kabisa wakiwa supervised na technicians ,technicians ambao wamefunzwa ,kuwa supervised na kupewa maelekezo ya bidhaa au mtambo husika na Engineers waliobuni hicho kitu au process ,hivi ndio Engineering ilivyo , wapumbavu wasio na akili wanadhani kazi ya Engineer no kwenda kufanya manual field work , hizo kazi zinafanywa na hata illiterates wasio jua kusoma na kuandika huko china ,India nk ,na kwa sasa tunapoelekea viwanda vinategemea robots ,yaani usomeshe Engineer miaka minne aje kufanya menial jobs ambazo hata illetrates wanafanya ? , Hiyo industrial process mnadhani itakuwa cost effective na hiyo bidhaa unaconsume huku Tanzania ikitoka China au ,India na Vietnam utakuja kuinunua kwa bei hiyo ? hizo repititive menial jobs zinazofanywa na artisans au illiterates huko kwenye construction sites na industrial factories zinaenda kuisha ,Robots za KUKA , Yamaha ,ABB nk zilizotengenezwa na Engineers zinaweza fanya kazi za mikono more efficiently than artisan or an illiterate person ,Kwa kasi na ufanisi wa hali ya juu kabisa .
Mlete huyo artisan au technician wako sasa afanye kazi za engineer au amreplace engineer kwenye majukumu yake kwenye hiyo Industrial process kama kudesign hizo Robots na maintenance tuone kama inawezekana sasa
 
Mi ninashukuru Mungu nimewahi kufanya kazi na team kutoka USA na sisi watanzania ni kweli kabisa kuna baadhi ya vitu technicians wao tulikuwa nao pamoja wakiona sehemu hawaendi sawa wanamwita Engineer na akija anafanya tunapata suluhisho.
Na kuna situation ilitokea kuna kitu inaitwa Engine to Alternator deflection (Injini inaunganishwa na alternator kwa vipimo ili kuepuka misalignment)huwa ina tolerance yake iligoma kabisa katika hiyo range ilibidi engineer aulize kiwandani ila siku kama ya 4 hivi kuna technicians wa kitanzania very senior akapata suluhisho kazi ikatamatika kumbuka hiyo engine ni hizi kubwa bore 230mm kwa stroke ya 280mm.

Kwahiyo ni kweli kabisa Engineers hawezi fanya kazi za technicians vile vile kuna majukumu ya Engineers technicians hugusi kabisa. Sema wakwetu wengi hujisahau tu (kurizika mapema).
 
Nakuuliza wewe mjinga ,kazi ya Engineer ni kubeba karai la zege ?
Hao wabeba makarai ya zege ndio waliodesign concrete mixer na cranes zinazotumika kwenye construction sites ?
 
THE TECHNICIAN KNOWS "WHAT" AN ENGINEER KNOWS "WHY"
 
Nimekwambia kabishane mada za Simba na yanga ,huna unachokijua hapa wewe fala , kubishana na lofa kama wewe ni kupoteza muda
 
Zinapinda nn bhanaa, mm nawaona wana kobilo (bob) na pimamaji zao wananyoosha maukuta, safi kabisa watu wanazaana humo kuanzia babu hadi wajukuu zao.


Kama kuna Taifa linalozarau wasomi basi taifa hilo ni mfu .
Ndio maana tunatakiwa tufanye mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi .
Hivi kweli mtu wa Veta anaweza akasimami Ramani ya Daraja kama lile la Busisi . Acheni utani .
Serikali ya hovyo ya CCM imeshindwa kutoa fursa za kuwatumia wasomi matokeo yake pesa nyingi wanawapa Wasanii akina Mwijaku ,Diamond na Machawa ili tu wasifiwe matokeo yake Wasomi walipaswa kuwezeshwa wanaonekana hawana umuhimu kwa sababu hawalambi viatu vya watawala na kusifu mitano tena .

Injinia mkuu ni Mungu Muumbaji .Yeye alidesign vitu vyote na kuviseti katika mifumo ya kisayansi inayojiendesha yeyewe.
Viumbe wengine ni wasimamizi tu na mafundi stadi akiwemo Yesu.

Kuna Ramani za majengo Complicated ukimpa local fundi hajui hata pa kuanzia mpaka Injinia amuelekeze .Hii anzi pale . Pima mita kadhaa n.k .

Mfano : Kuna wazungu wakikuja mkoa fulani . Walikataa kuingia ndani ya nyumba za watu na usiku walilala nje .Walisema kuwa nyumba hizo zinaweza kuanguka kwa sababu zimejengwa pasipokuwa na viwango .
 
Nakuuliza wewe mjinga ,kazi ya Engineer ni kubeba karai la zege ?
Hao wabeba makarai ya zege ndio waliodesign concrete mixer na cranes zinazotumika kwenye construction sites ?
Ni Engineers..
Kwa mfano mdogo tu moja ya maeneo haya : ndege kabla ya kuundwa inatokea katika makaratasi tena toka discipline mbalimbali main ikiwa ni aeronautics engineering.

Ikiundwa bado kuna Aircraft maintenance Engineers ambao wanahusika na matengenezo wakisaidiwa na technicians kwahiyo kuna vitu haina haja ya mabishano vinaeleweka.

Kwanini VETA nje na Motor Vehicle Mechanics na Truck Mechanics hawana taaluma kama za Aviation, Marine and Railway???
 
Ndio hawa wapuuzi humu wanaandika ujinga wa kuponda Engineers waeleze,labda veta kuna astronauts na aviation Engineers au technicians
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…