Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
-
- #61
Ok basi hilo tukubaki ni la Samia, japo mpika kesi ni MagufuliUkileta issue za 50/50 basi pia huyo Samia nae achukue 50 kwa uhuni wote wa awamu ambayo yeye ndio alikuwa makamu wa rais wa utawala wa Magufuli. We kubali tu aliyemkamata Mbowe na kumuwela ndani kwa tuhuma za ugaidi ni Samia na uzuri alishaeleza msimamo wake juu ya hiyo kesi ya Mbowe pale alipohojiwa na bbc.
Magu na genge lake sio tuu walikuwa wahuni bali matapeliWafuasi wa Magufuli wanaituhumu serikali ya sasa kuwa ina wahuni, wakiongozwa na yule mtu wao aliyepelekwa Malawi na hashtag yake ya #KataaWahuni
Sasa nataka tuende kwa fact na records, mimi nataka waniambie ni uhuni gani umefanyika serikali ya Samia kushinda uhuni wa Serikali ya Magufuli
Kwa kuanzia tu, Kipindi cha Magufuli ndio mbunge alipigwa risasi katika viwanja vya Bunge na watu waliompiga kung'oa CCTV Camera zilizorekodi tukio
Kipindi cha Magufuli ndio watu walitekwa kwa wingi zaidi kama akina Kinguye, Ben Saanane, azory Gwanda, Mdude Chadema, Roma Mkatoliki, Mo Dewji, Abdul Nondo n.k
Kipindi cha Magufuli ndio mkuu wa mkoa huku akirekodiwa na Camera alivamia kituo cha Tv kuamrisha habari yake isomwe na wala hakuchukuliwa hatua yoyote
Kipindi cha Magufuli ndio tulisikia mkuu wa mkoa akipiga watu marufuku kuja kwenye 'mkoa wake'
Kipindi cha Magufuli ndio mtu kama Sabaya alitamba sana, na kuna matukio kibao kama ya ubakaji, uporaji, kubambikizia kesi n.k
Achilia mbali uhuni wa kuengua asilimia 90 ya wagombea wa upinzani kwenye uchaguzi Serikali za mitaa kwa kigezo kuwa hawajui kusoma wala kuandika
Achilia mbali kulazimisha na kuhonga wapinzani kujiuzulu ubunge na udiwani kisha kugombea tena jimbo hilo hilo ili Magufuli aonekane anapendwa
Ndio kipindi tumedanganywa miradi mikubwa tunajenga kwa fedha za ndani
Achilia mbali kauli za kihuni za Magufuli kama 'Baki na mavi yako nyumbani', 'Mnataka mpanuliwe wapi', na kusifia wake za watu hadharani
Huu ni uhuni mdogo sana kati ya uhuni mwingi aliokuwa akifanya Magufuli
Haya sasa niambieni matukio ya kihuni kwenye serikali ya Samia tulinganishe
Kwa hiyo kwa nini Chadems hawajakamatwa? Chadema waling'oa hadi kamera za CCTV?Upuuzitu umeandika hapa. Mkiambiwa vijana wa chadema ni malofa mnabisha. Hivi tundu lisu Anapigwa risasi Alafu mpata dereva wake anaenda kujificha nae hawataki atoe ushirikiano na polisi hivi mpaka hapo Mjajua tu kwamba tukio lile lilipangwa na chadema wenyewe?
Tumieni Akili Hata kidogo basi yakufikiria. Na sio ushabiki wakijinga mwenzenu Mwenyekiti kashalambishwa Asali nyie mnabaki kuropoka tu mitandaoni.
Akili zangu zipo kaburini ChatoKwa wewe unamacho?
Akili si umeweka juu ya mti?
Uhuni upi umetaja? Kupindisha maana ya meneno ndio uhuni?Nilidhani ulitaka uambiwe uhuni wa awamu hii, kumbe haupo hapa kukubaliana na hilo na ndio maana unajaribu kutetea ili kupinga kwamba awamu hii hakuna uhuni.
Kama unadhani nilivyomuelewa mimi sio sahihi na cha ajabu ndio tumemuelewa hivyo, je yeye mwenyewe Samia mbona hajarekebisha kwa kutoa ufafanuzi wa kauli yake ya kula kwa urefu wa kamba? We wewe dalili gani ya kuthibitisha kwamba ulivyomuelewa wewe ndio sahihi katika awamu hii ya watoto wa mjini?
Magufuli alijaribu kuweka nidhamu kwa kiwango alichoweza hata kama ilikuwa ni nidhamu za hofu ila zilisaidia kwa kiasi chake, sasa niambie Samia yeye toka aseme ni nidhamu za uoga yeye kafanya nini kujenga nidhamu ya za hiari?
Polepole, ni kati ya wahuni waliokuwa wanasimamia manunuzi ya watu.Wafuasi wa Magufuli wanaituhumu serikali ya sasa kuwa ina wahuni, wakiongozwa na yule mtu wao aliyepelekwa Malawi na hashtag yake ya #KataaWahuni
Sasa nataka tuende kwa fact na records, mimi nataka waniambie ni uhuni gani umefanyika serikali ya Samia kushinda uhuni wa Serikali ya Magufuli
Kwa kuanzia tu, Kipindi cha Magufuli ndio mbunge alipigwa risasi katika viwanja vya Bunge na watu waliompiga kung'oa CCTV Camera zilizorekodi tukio
Kipindi cha Magufuli ndio watu walitekwa kwa wingi zaidi kama akina Kinguye, Ben Saanane, azory Gwanda, Mdude Chadema, Roma Mkatoliki, Mo Dewji, Abdul Nondo n.k
Kipindi cha Magufuli ndio mkuu wa mkoa huku akirekodiwa na Camera alivamia kituo cha Tv kuamrisha habari yake isomwe na wala hakuchukuliwa hatua yoyote
Kipindi cha Magufuli ndio tulisikia mkuu wa mkoa akipiga watu marufuku kuja kwenye 'mkoa wake'
Kipindi cha Magufuli ndio mtu kama Sabaya alitamba sana, na kuna matukio kibao kama ya ubakaji, uporaji, kubambikizia kesi n.k
Achilia mbali uhuni wa kuengua asilimia 90 ya wagombea wa upinzani kwenye uchaguzi Serikali za mitaa kwa kigezo kuwa hawajui kusoma wala kuandika
Achilia mbali kulazimisha na kuhonga wapinzani kujiuzulu ubunge na udiwani kisha kugombea tena jimbo hilo hilo ili Magufuli aonekane anapendwa
Ndio kipindi tumedanganywa miradi mikubwa tunajenga kwa fedha za ndani
Achilia mbali kauli za kihuni za Magufuli kama 'Baki na mavi yako nyumbani', 'Mnataka mpanuliwe wapi', na kusifia wake za watu hadharani
Huu ni uhuni mdogo sana kati ya uhuni mwingi aliokuwa akifanya Magufuli
Haya sasa niambieni matukio ya kihuni kwenye serikali ya Samia tulinganishe
Wamasai mbona wanahama wenyewe kwenda handeni? Kama muwekezaji atatuongezea pato tuache tung'ang'anie wamasai?Kinachoitwa uwekezaji ni kukaribisha wezi kuiba rasilimali zetu.
Hakuna unyama uliofanyika kama kuwaondoa wamasai kwa kutumia majeshi yetu kwenye ardhi yao na kumpa mwekezaji.
Ni jambo la aibu mno kusitisha mradi wa Bwawa la Nyerere na kuanzisha mwingine wa Gesi.
Wizi na ubadhirifu wa fedha za miradi na huduma mbovu ni jambo la kawaida kabisa kwa sasa.
Kuruhusu wafanyabiashara kupandisha bei wanavyojisikia ni kitendo cha kuwaumiza wananchi ambacho serikali imekibariki.
Kwa ufupi ni kwamba awamu hii imejaa uovu mwingi kuwahi kutokea katika historia ya Taifa letu.
Huyu unayesema siyo muhuni ndiyo alikuwa Makamu, hata kutoa comparison ni kosa kubwa. She was enabler!Kama hoja yao ingekuwa ni serikali ileile wala nisingeanzisha huu uzi kuwahoji, hoja ya kuwa utawala uliopita ulikuwa perfect na huu qa sasa umejaa wahuni ndio nataka tujadili
Ila ile awamu ya 5, awamu ya Jiwe, ilikuwa awamu ya uongozi wa kibaradhuli.Nafasi za bahati, yoyote hawezi jiamini, ilikua bahati KWa mwendazake vilevile imekua bahati tu KWa aliemfuatia, ya mwenzake yalisikitisha Sana na ya Sasa yanasikitisha Sana, hakuna jipya
Mleta mada, ana hoja kubwa kwa watu wenye akili.Hii siyo hoja, ni haja kubwa!
Mleta mada, hii mada yako inasaidia nini maisha ya watanzania?
Jinga kabisa
Jonny,Wamasai mbona wanahama wenyewe kwenda handeni? Kama muwekezaji atatuongezea pato tuache tung'ang'anie wamasai?
Huduma mbovu na ubadhirifu vilitokea sana kipindi cha Magufuli kuliko kipindi chochote, na ushahidi ni taarifa ya CAG
Kupanda bei ni dunia nzima, nenda hapo Kenya kilo moja ya unga inauzwa 2000
Bwawa la Nyerere halijasitishwa kama una ushahidi uweke hapa
Mleta mada, naamini anataka hoja halisia, mambo yanayoenekana wazi. Kupigwa risasi Tundu Lisu, utalinganisha na kauli ya kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake? Kuwasweka ndani watu aluowaita wahujumu uchumi kumbe nia yake ni kuwapora pesa zao ili apate utajiri yeye binafsi, utalinganisha na mfumko wa bei ambao ni matokea ya mambo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi?Nilidhani ulitaka uambiwe uhuni wa awamu hii, kumbe haupo hapa kukubaliana na hilo na ndio maana unajaribu kutetea ili kupinga kwamba awamu hii hakuna uhuni.
Kama unadhani nilivyomuelewa mimi sio sahihi na cha ajabu ndio tumemuelewa hivyo, je yeye mwenyewe Samia mbona hajarekebisha kwa kutoa ufafanuzi wa kauli yake ya kula kwa urefu wa kamba? We wewe dalili gani ya kuthibitisha kwamba ulivyomuelewa wewe ndio sahihi katika awamu hii ya watoto wa mjini?
Magufuli alijaribu kuweka nidhamu kwa kiwango alichoweza hata kama ilikuwa ni nidhamu za hofu ila zilisaidia kwa kiasi chake, sasa niambie Samia yeye toka aseme ni nidhamu za uoga yeye kafanya nini kujenga nidhamu ya za hiari?
Awamu zote, kuna makosa Serikali hufanya lakini yale ya awamu ya 5 hayakuwa makosa bali ni ushetani. Shetani aliishi ikulu, akafanya kazi ya kuliangamiza Taifa, akawapata mashetani wadogo wa kusaidia kuangiza Taifa, wale wa kumwimbia sifa kwa nia ya kuwapumbaza waliokuwa na uelewa duni.Kinachoitwa uwekezaji ni kukaribisha wezi kuiba rasilimali zetu.
Hakuna unyama uliofanyika kama kuwaondoa wamasai kwa kutumia majeshi yetu kwenye ardhi yao na kumpa mwekezaji.
Ni jambo la aibu mno kusitisha mradi wa Bwawa la Nyerere na kuanzisha mwingine wa Gesi.
Wizi na ubadhirifu wa fedha za miradi na huduma mbovu ni jambo la kawaida kabisa kwa sasa.
Kuruhusu wafanyabiashara kupandisha bei wanavyojisikia ni kitendo cha kuwaumiza wananchi ambacho serikali imekibariki.
Kwa ufupi ni kwamba awamu hii imejaa uovu mwingi kuwahi kutokea katika historia ya Taifa letu.
Aheri ungetulia, uache wenye akili wajadili hoja.Upuuzitu umeandika hapa. Mkiambiwa vijana wa chadema ni malofa mnabisha. Hivi tundu lisu Anapigwa risasi Alafu mpata dereva wake anaenda kujificha nae hawataki atoe ushirikiano na polisi hivi mpaka hapo Mjajua tu kwamba tukio lile lilipangwa na chadema wenyewe?
Tumieni Akili Hata kidogo basi yakufikiria. Na sio ushabiki wakijinga mwenzenu Mwenyekiti kashalambishwa Asali nyie mnabaki kuropoka tu mitandaoni.
Hata siyo wahuni wala matapeli, ile awamu ya 5 ulikuwa ni uongozi wa shetani.Magu na genge lake sio tuu walikuwa wahuni bali matapeli
Hasaa! Na kulinda uhai wa raia ndiyo jukumu la kwanza la Rais na siyo kuhatarisha. Hata wanyama wa aina moja wanateteana Watanzania tumepumbazwa tunashabikia kuondoa uhai wa binadamu, wenzetu, kuteswa, wenzetu kuwekwa mahabusu/ jela kwa mambo ya kisiasa. Ukitazama tabia ya nyati wa porini utaona jinsi anavyo yakataa mambo hayo kwa nguvu zake zote akifanyiwa nyati mwingine! Maendeleo ni ya nini kama hayaji kunufaisha ujumla wetu wa sasa na vizazi vijavyo!!Ila ile awamu ya 5, awamu ya Jiwe, ilikuwa awamu ya uongozi wa kibaradhuli.
Uongozi unaoua wanaokosoa, ni uongozi wa kishetani, ambao hauwezi kupata nafasi ya kuoshwa kwa namna yoyote ile.
Marehemu Magufuli ataendelea kukumbukwa kwa vizazi vingi kama mtawala baradhuli, muuaji, mtesaji na ambaye hakukubali kukosolewa kutokana na uuaji, utekaji na utesaji watu. Makosa mengine yote, kama uwongo na kuharibu uchumi, kuvunja haki za uhuru wa watu, udikteta, kutapanya pesa ya umma, uporaji wa pesa za watu na kuwabambikia watu kesi, ataweza kusamehewa lakini ushetani ule wa kuua na kuteka watu, kamwe hautasahaulika. Alijipa mamlaka ya kuondoa uhai wa watu, kama vile yeye ndiye anayeugawa, hakujua kabisa, shetani alimpumbaza, hata asijue kuwa hata yeye hawezi kukikwepa kifo.
Watawala na sisi sote tulio hai leo, tuogope kutenda maovu, tuogope na tusisogelee wala kuwaza kuwaua wanadamu wenzetu. Uhai wa mtu ni mali ya Mungu, ndiye aliyetupatia, na ndiye mwenye uwezo wa kuundoa.
Mbona unakuwa mzito kukubali tu moja kwa moja uhuni wa Samia hadi umuhusishe na Magufuli? Hili limeisha kuwa ni uhuni wa Samia.Ok basi hilo tukubaki ni la Samia, japo mpika kesi ni Magufuli
Hakika umenena vema. Awamu ya 5 ilizidiwa ustaarabu hata na maisha ya wanyama. Fisi pamoja na tabia zake za ajabu, lakini hatafuni watoto wake, ila hapa tulikuwa na Rais anasikia faraja kuondoa uhai wa wale aliorakiwa kuwalinda.Hasaa! Na kulinda uhai wa raia ndiyo jukumu la kwanza la Rais na siyo kuhatarisha. Hata wanyama wa aina moja wanateteana Watanzania tumepumbazwa tunashabikia kuondoa uhai wa binadamu, wenzetu, kuteswa, wenzetu kuwekwa mahabusu/ jela kwa mambo ya kisiasa. Ukitazama tabia ya nyati wa porini utaona jinsi anavyo yakataa mambo hayo kwa nguvu zake zote akifanyiwa nyati mwingine! Maendeleo ni ya nini kama hayaji kunufaisha ujumla wetu wa sasa na vizazi vijavyo!!
Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app
Samia anasema kabisa wajipimie wasivimbiwe, maelezo ya Samia yapo wazi kwamba sawa wanaiba inajulikana ila wasipitilize hadi kuathiri miradi na hadi mfano alitoa. Kwahiyo mkuu ni wewe ndio unajaribu kutaka kupindisha alichokikusudia Samia.Uhuni upi umetaja? Kupindisha
maana ya meneno ndio uhuni?
Kwani kula kwa urefu wa
kamba kuna maana gani kama
tukichukulia kama nahau?
Nipe mifano halisi ya uhuni
kama ya Bashite kuvamia
Clouds na Bunduki