Mimi huwa nawasikiliza viongozi wa dini zote kuona wanachozungumza,Sasa mbona umeleta hoja ya Mazinge kama humfuati na humkubali?
Mimi ni Muislam kwa kuwa nimeona ndiyo dini sahihi
Soma hapo post #171 . baadaye mjibu maswali yangu msikimbieMada ni kwamba
Mungu anasema hakuna wa kubadilisha maneno yake.
Kwa nini waislam mnasema vitabu vyake vimebadilishwa?
Mada ni kwamba
Mungu anasema hakuna wa kubadilisha maneno yake.
Kwa nini waislam mnasema vitabu vyake vimebadilishwa?
ndio mimi nakuuliza Torati ipi unayotaka , kwani ninavyojuwa hivi sasa haipoUmesema vitabu kabla ya Quran vimechezewa na kubadilishwa .
Ndio nikaomba kujua maneno gan wamebadili kwenye torati au Zaburi.
Toleo jipya ambalo lipo jikoni, hebu tueleze vizuri. Jikoni wapi? Hilo jiko linaongozwa na nani? Vifungu gani hivyo vimefutwa? Yaani wanafunzi wa Yesu walijitungia tu! Ni nani sasa mwenye kuweza kuwasahihisha wanafunzi ambao wao walikuwa wapo na Yesu kila anapoenda. Yaani unamaanisha kuna watu wanajua zaidi habari za Yesu kuliko wanafunzi wa Yesu?
torati moja ipi ?? iko wapi ??Unapouliza Torati ipi unamaanisha nini wakati ipo Torati moja tu?
we umesema mudi alikuwa akihubiri mecca hata kabla ya kwenda madina! Hii umetoa kwenye quran coz wanazuoni wameandika kuwa mudi alikuwa ni mojawapo ya wapiganaji hodari katika jamii yake huko mecca! Sasa labda kama quran yako inawazidi maarifa wanazuoni walioandika historia hii! Pata muda wako nenda ukagoogle the lost books of eden kama unataka kujua mengi!Fungu lipi la Qur’an nimekuletea?
Yes hapo ndo huwa wanakwama.Na waseme pia vitabu vilikuwa hivi ila vikabadilishwa na vikawa hivi...
Muddy ni nani huyo au ni yule mchezaji wa Real madrid, mudrick ??we umesema mudi alikuwa akihubiri mecca hata kabla ya kwenda madina! Hii umetoa kwenye quran coz wanazuoni wameandika kuwa mudi alikuwa ni mojawapo ya wapiganaji hodari katika jamii yake huko mecca! Sasa labda kama quran yako inawazidi maarifa wanazuoni walioandika historia hii! Pata muda wako nenda ukagoogle the lost books of eden kama unataka kujua mengi!
ndio mimi nakuuliza Torati ipi unayotaka , kwani ninavyojuwa hivi sasa haipo
ndio mimi nakuuliza Torati ipi unayotaka , kwani ninavyojuwa hivi sasa torati haipoYes hapo ndo huwa wanakwama.
Eti hivi vilivyopo ni fake, ila original hawana, sasa unawezaje kujithibitishia kwamba hiki ni fake ikiwa original hauijui na hujawahi kuiona?
ndiyo haipo sasa nikuambie kitu gani ??Hiyo ambayo haipo . Ndio nataka kuijua ilikuwa na nn ndan yake
mi nilidhani naongea na mtu mwenye akili zake kumbe.......au basi! Owa mwamba nitakutukana bureee!Muddy ni nani huyo au ni yule mchezaji wa Real madrid mudrick ??
Hoja unaielewa lakini?Uandishi wao umetofautiana wenyewe kwa wenyewe
Kama umesoma Biblia walau kwa 75% natumaini umeona Mwanzafunzi huyu kasema hivi, na mwingine kaelezea tofauti kabisa wakati wanaongelea kitu kimoja.....
Ngoja nikiwa nafasi nitakuwekea kwa kuwa nimebahatika kuisoma biblia walau kwa 80%
Kuhusu Biblia zilizo chakachuliwa; kma unapenda, fuatilia Biblia za misaada zinazogawanywa mashuleni nk nk....
Unitukane kwa kukuuliza swali ??mi nilidhani naongea na mtu mwenye akili zake kumbe.......au basi! Owa mwamba nitakutukana bureee!
ndiyo haipo sasa nikuambie kitu gani ??
sio swali, umeuliza swali la kipumbavu! Hujui mudi ni short term ya mohamed?Unitukane kwa kukuuliza swali ??