Nini maana ya kukumbukumbu ??Nimeyapata hapa 👇👇👇
Torati maana yake ni sheria au muongozo.
Musa alishushiwa amri 10 za Mungu. Na akaelekezwa namna wan.a. wa israel wanatakiwa kuishi.
Kuita Kumbukumbu la.torat au torat haiwez kuondoa mantik kuwa Bado ni torati.
Tatizo unaleta maelezo ya kucopy ambayo hata wewe hujayasoma, sasa hatuwezi kuelewanaNi kuwa hujasoma post#171 na unaongopa . Nakuuliza hivi kwanini Torati inaitwa Kumbukumbu la Torati ??
Swali
Surah 6:115 na 18:27 zinaeleza kwamba maneno ya Allah hayawezi kubadilishwa.
Torati (Tawrat) na Injili ni maneno ya Allah.
Kwa hivyo, maandiko ya awali ya Biblia yamehifadhiwa dhidi ya kuharibiwa.
Surah 6:115:
"Na yametimia maneno ya Mola Mlezi wako kwa kweli na uadilifu. Hapana awezaye kuyabadilisha maneno yake. Na Yeye ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua.
Surah 18:27:
"…Na soma uliyo funuliwa katika Kitabu cha Mola wako Mlezi. Hapana wa kubadilisha maneno yake. Wala nawe hutapata makimbilio isipo kuwa kwake.
Katika Uislamu, mistari hii inahusu hasa Qur’ani na funuo za kiungu kwa ujumla. Inasisitiza kwamba ahadi na amri za Allah zinalindwa, na ujumbe wake wa kweli umehifadhiwa.
Qur’ani inatambua Torati na Injili kama zilivyofunuliwa asili na Allah (Surah 3:3, 5:44-46).
Lakini Qur’ani pia inaeleza wazi kwamba binadamu walibadilisha au kutafsiri vibaya maandiko haya kwa muda:
Surah 2:75:
"…Mnatumai watakuaminini na hali baadhi yao walikuwa wakisikia maneno ya Mwenyezi Mungu, kisha wakayabadili baada ya kuwa wameyafahamu, na hali wanajua?
Surah 5:13:
"…Basi kwa sababu ya kuvunja agano lao tuliwalaani, na tukazifanya nyoyo zao kuwa ngumu. Wanayabadilisha maneno kutoka pahala pake, na wamesahau sehemu ya yale waliyo kumbushwa. Na huachi kuvumbua khiana kutokana nao, isipo kuwa wachache miongoni mwao. Basi wasamehe na waache. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao wema.
Ufafanuzi wa Kiislamu: Torati na Injili awali zilikuwa maneno ya Allah, lakini sasa zimebadilishwa na binadamu, kwa kuongeza, kupunguza, au kutafsiri vibaya.
Allah anahakikisha ujumbe wake umehifadhiwa, lakini ulinzi huu unahusu kikamilifu Qur’ani tu (Surah 15:9).
Funuo za awali (Tawrat, Zabur, Injili) zilitunzwa wakati wa kufunuliwa, lakini baadaye binadamu waliziharibu, kwa makusudi au kwa kutozingatia.
Wakristo wanasema: "Ikiwa maneno ya Allah hayawezi kubadilishwa, basi Biblia lazima isiharibike."
Uislamu unajibu:
Ndiyo, maneno ya Allah hayawezi kubadilishwa kwa asili, lakini Qur’ani tu ndiyo iliyo salama kikamilifu.
Torati na Injili zilikuwa na maboresho ya binadamu kwa karne nyingi, ndio maana Waislamu wanategemea Qur’ani kama mwongozo wa mwisho usioharibika (Surah 5:48).
Kwa ufupi: Qur’ani inaonyesha tofauti kati ya maneno ya kiungu kwa asili na nakala zilizobadilishwa na binadamu. Kuwa Torati na Injili awali maneno ya Allah haimaanishi Biblia ya leo ni sawa kabisa na ile ya asili.
Muhtasari
Maneno ya Allah kweli hayawezi kubadilishwa, lakini hii haimaanishi Biblia ya leo ni sawa kabisa na Torati na Injili ya asili.
Qur’ani inafundisha kwamba maandiko ya awali yalibadilishwa au kutafsiriwa vibaya na watu, kwa hivyo Qur’ani pekee ndiyo iliyo salama kikamilifu hadi mwisho wa wakati.
Kwa hiyo, hoja ya Kikristo inadhani kwamba maandiko yalihifadhiwa bila kuharibika, jambo ambalo Uislamu haukubali.
Sikushangai kwa matusimi nimetoa historia! Sijatoa kwenye bible wala quran ila we kilaza ni mgumu kuelewa! Fanya hivi, usiqoute post yangu tena! Km wewe.
Hata ukristo una Mungu mmoja tu,Usahihi wa Uislamu ni kuwa katika imani ya Mungu Mmoja ambaye ni Allah bila kumuhusisha na viumbe wengine kuwa ni wasaidizi wake katika uungu kama ilivyo kwa dini nyingine
Pia Uislamu ni mfumo kamili wa maisha kuliko dini yoyote nyingine
kwa hivyo Qur’ani pekee ndiyo iliyo salama kikamilifu hadi mwisho wa wakati.
“Aya yoyote tunayoifuta au tukayabadilisha, tunakuleta bora au sawa nayo. Je, haufahamu kuwa Mwenyezi Mungu ana uwezo wa kila kitu?”
unaweza kuniwekea link huko niliko copy ?? Mnataka ubishi na kukimbia maswali ambayo hamwezi kuyajibuTatizo unaleta maelezo ya kucopy ambayo hata wewe hujayasoma, sasa hatuwezi kuelewana
Mi ni mkristo Safi kabisa, hakuna swali linalohusu Biblia na ukristo nashindwa kujibu.unaweza kuniwekea link huko niliko copy ?? Mnataka ubishi na kukimbia maswali ambayo hamwezi kuyajibu
Hebu leta jibu hapa, Mungu gani huyu muongo?Kwani haujawahi kusoma kwenye Wakorintho wa kwanza 1-25
Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.
Mbona majibu mnayo wenyewe!
Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.Hebu leta jibu hapa, Mungu gani huyu muongo?
Nini maana ya kukumbukumbu ??
Allah akifuta aya anamwambia nani aziandike tena.?.
Wakat Quran ishaandikwa?.
Qur’an 2:106
ni muhimu kuelewa tofauti kati ya “abrogation” (naskh) inayofanywa na Allah na “kubadilishwa kwa binadamu”. Katika Uislamu, Qur’an haijabadilishwa na binadamu, bali aya fulani hubatilishwa au kufutwa kwa amri mpya ya Allah ili kuendana na muktadha wa wakati. Hii ni tofauti kabisa na maandiko ya Biblia yaliyoathiriwa na binadamu.
Hapa kuna mfano wa Qur’an yenye naskh:
Wanakuuliza juu ya ulevi na kamari. Sema: Katika hivyo zipo dhambi kubwa na manufaa kwa watu. Lakini dhambi zake ni kubwa zaidi kuliko manufaa yake. Na wanakuuliza watoe nini? Sema: Kilicho chepesi. Namna hivi Mwenyezi Mungu anakubainishieni Aya zake mpate kufikiri-
Aya ya awali (Surah Al-Baqarah 2:219):
Aya mpya (Surah An-Nisa 4:43 & Surah Al-Ma’idah 5:90):
Enyi mlio amini! Msikaribie Sala, hali mmelewa, mpaka myajue mnayo yasema, wala hali mna janaba - isipo kuwa mmo safarini - mpaka mkoge. Na mkiwa wagonjwa, au mmo safarini, au mmoja wenu ametoka chooni, au mmewagusa wanawake - na msipate maji, basi ukusudieni mchanga safi, mpake nyuso zenu na mikono yenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kughufiria.
Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.
- Baadaye pombe ilipigwa marufuku:
Ufafanuzi:
- Hii inaonyesha Qur’an hubadilisha amri kadri inavyohitajika, lakini kila mabadiliko ni kutoka Allah, sio binadamu.
Muhimu Kuelewa
- Abrogation (naskh) ni mabadiliko ya kiungu yaliyopangwa na Allah, kwa ajili ya mwongozo bora na sahihi.
- Biblia haikufuata kanuni hii ya kiungu; maandiko yake yalibadilishwa na tafsiri za binadamu, ufisadi, au kuongeza/kupunguza maandiko.
Mi nazungumzia Aya ya Quran 6:34, nataka jibu litoke hapo Kisha tunakuja kwenye Biblia au unasemajeKwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.
Rudia 1 Kor 1-25 ndiyo jibu lako lipo hapo.
Ukristo una Mungu mmoja wakati kila siku tunasikia kuwa Yehova na Yesu wote wanaitwa MunguHata ukristo una Mungu mmoja tu,
Allah ana wasaidizi au hujui hilo
Kwenye Qur’an kuna amri kumi???Amri 10 za kwenye Quran ukiziangalia kwa mtiririko wake zinalandana na za kwenye torat.
Utofaut upo kidogo.
Ila mtiririko ni ule ule.
Kwahiyo Quran imecopy zile amri kutoka torati. Copy and paste na wakaziongezwa nyama.