Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Quran haijabadilishwa na sisi kamwe hatuwezi kutunga kitabu kinachofanana na Quran.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2026-01-22 at 09.42.37.jpeg
    93.5 KB · Views: 23
Sasa angeifuataje na wakati haikukuwepo
 
Kiongozi umeandika mambo ya msingi sana ila jamaa anakujibu kirahisi sana
 
We jamaa huwa hujibu maswali Bali unaweka swali juu ya swali. Hivo mada haiwezi kuisha.
Kwa kuwa wewe unataka upande mwingine uonekane dhaifu kwa jambo fulani wakati hata upande wako jambo hilo lipo
 
Kiongozi umeandika mambo ya msingi sana ila jamaa anakujibu kirahisi sana
Hata wakijibu kirahisi ...ukweli wameanza kuujua moyoni...waislamu hawana logic hivyo nawasaidia kufungua logic
 
Kwa kuwa wewe unataka upande mwingine uonekane dhaifu kwa jambo fulani wakati hata upande wako jambo hilo lipo
Kama ni hivo inabidi tuwe tunakubaliana kwamba hili ni dhaifu Kisha useme, dhaifu hili hata upande wenu lipo.
 
Kama ni hivo inabidi tuwe tunakubaliana kwamba hili ni dhaifu Kisha useme, dhaifu hili hata upande wenu lipo.
Mimi siwezi kukubali kuwa huo ni udhaifu kwetu ila wewe ndio uwe unakubali kuwa ni dhaifu kwa pande zote ili tufunge mjadala au ujitetee kuwa sio udhaifu kwa upande wenu
 
Mimi siwezi kukubali kuwa huo ni udhaifu kwetu ila wewe ndio uwe unakubali kuwa ni dhaifu kwa pande zote ili tufunge mjadala au ujitetee kuwa sio udhaifu kwa upande wenu
Haya turudi kwenye point,
Unakubaliana na huyu jamaa anayesema Allah mwenyewe kataka vitabu vyake vipotee?
 
Hata wakijibu kirahisi ...ukweli wameanza kuujua moyoni...waislamu hawana logic hivyo nawasaidia kufungua logic
Ukisema logic utagundua kuwa nyinyi ndio hamna logic kwa kugeuza Mungu Mmoja kuwa watatu
 
Ukisema logic utagundua kuwa nyinyi ndio hamna logic kwa kugeuza Mungu Mmoja kuwa watatu
Shetani anafanya kazi kwenye dini yoyote hivyo upotoshaji ni swala la dini zote ..sisi tunacho fanya ni kuutafuta ukweli halisi ..hao wanao sema Mungu ana nafsi 3 ni Wapumbavu tu....hoja kama muhammad aliweza kufunuliwa na Mungu mafundisho mapya ya uislamu je kwa nini asifunuliwe na Mungu mafundisho sahihi ya injili ili ayafuate kabla ya kupewa utume? Kila mtume kabla ufuata mafundisho ya mwisho ya Mungu na kwa hayo kufikia daraja ya utume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…