Sawa jehanam itaongea kama ilivyo kwa vijiti na Punda.
Aya gan unasemea.
Ni hii ya Binadamu ameubwaje?.
Quran 86 : 5-7
"Hebu naajitazame mwanaadamu ameumbwa kwa kitu gani?
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu."
Huwezi kuelewa maana wewe ni mtu wa dini, umefungwa na dini, ninyi munaabudu musichokijua, ukweli ni kwamba hakuna aliye juu ya Yesu, hata ukitaja katika watu wenye akili zaidi duniani basi namba moja atakuwa ni Yesu Kristo na siyo vinginenvyo, wengi walimpinga lakini baadae waligeuka kuwa watumishi wake, hivyo na mimi nakuombea maana ninakupenda kuna siku utahubiri jina lake, na hiyo ndio tofauti kati yetu na ninyi watu wa dini.Umeipata dictionary lipi kuwa maana ya christo ni yesu aliyekufa ??
Muhammad alianza Utume na kuhubiri dini tangu akiwa Makkah vipi unasema alipoenda Madinah ndio akaona aanzishe dini ili apate wanajeshi?Mohamed alikuwa ni hodari wa vita! Yaani hapa africa ni kama shaka zulu! Akawa na tamaa ya kuwa mfalme ndipo akajaribu kufanya mapinduzi yaliyofeli ikabidi akimbilie madina! Ila baada ya tafakuri ya muda mrefu, akang'amua njia ya kuwa na wanajeshi wengi ni kuanzisha dini inayoendana na matakwa ya waarabu wenzie! Ndo maana mudi alikua anatoa ahadi za kipumbavu kwa wajeshi wake! Eti ukifa allah atakupa wanawake virgins 72 ko usiogope! Mara ohh allah anataka watakaoingia peponi wawe hodari so ukiua unakuwa na kibali cha kwenda peponi! Hizi ni mojawapo za ahadi ambazo jamaa aliwaahidi waarabu wenzie na akafanikiwa kuwalaghai mpaka akauteka mecca na kuendelea kutawala sehemu nyinginezo! Mudi akijua kuwa hii dini ambayo ameianzisha ndo silaha yake nambari one, akawa anaieneza kwa nguvu zote kila anapotawala sehemu fulani! Utawala wake ni moja ya falme ambazo zimo kwenye historia ya dunia ambazo zimeonyesha umuhimu wa kuwa na dini moja kama taifa linataka kuendelea! Hata new world order hutumia mifano ya hizi falme!
Mara hii Yesu ameshakuwa mtu na sio Mungu tena😀😀😀hata ukitaja katika watu wenye akili zaidi duniani basi namba moja atakuwa ni Yesu Kristo
Acha kujifanya huwelewi wewe, kwani Yesu alikuwa nani?? Unakaza fuvu na ukweli unaujua. Muddy alitumwa na mungu yupi Kuja kunazisha hiyo dini yenu ya haki??Mara hii Yesu ameshakuwa mtu na sio Mungu tena😀😀😀
Shida kuna wenzio wanasema Yesu ni Mungu🤣🤣🤣Acha kujifanya huwelewi wewe, kwani Yesu alikuwa nani?? Unakaza fuvu na ukweli unaujua. Muddy alitumwa na mungu yupi Kuja kunazisha hiyo dini yenu ya haki??
Yesu alikuwa mtu ndiyo na alizaliwa na mwanamke na alikula na kunywa ..huwezi kuelewa hili "fumbo" kama nilivyosema ninyi ni watu wa dini na mumefungwa na dini.
Vitabu vya mungu haviwezi kuandikwa na binadamu.ndo maana tunasema zaburi,taurat na injili zimechezewa.ndo ikaja Quran funga kaziAcha kuchanganya vitu tofauti. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu, iliandikwa na binadamu kutokana na mapokeo na shuhuda mbalimbali haikushushwa. Quran mnasema ilishushwa. Hivyo vitabu havina uhusiano. Kujaribu kuviunganisha ni akili mbovu. Mungu hawezi kuwa na ujinga huo wa kujipinga mwenyewe, hivyo quran sio mwendelezo wala marekebisho ya zaburi au torati.
Point ambayo unairuka ni kwamba, hizo Zaburi, Injili na Torati ni vitabu vyake au sio vyake? Kama ni vyake maana yake ni kwamba ni maneno yake.Quran imekuja mwisho baada ya zaburi,taurati na injili walizopewa waisrael.baada ya kuona huo uharibifu akaja na huo muhuri wa Quran usiweza kugeuzwa
Siyo kuna wenzio, Yesu ni Mungu ndio lakini hilo ni fumbo la imani, ninyi watu wa dini hamuwezi kuelewa hata kidogo.Shida kuna wenzio wanasema Yesu ni Mungu🤣🤣🤣
😅Hawa waislam sijui hawaelewi ama vipi,Daah ili swali Kuna watu watakupiga
Ndio maana nikakwambia hiyo tafsiri yako baki nayo itakusaidia 🤣🤣🤣😅Hawa waislam sijui hawaelewi ama vipi,
Wanakazania Mungu ameahidi kuilinda Quran,....sasa swali ni kwamba Zaburi, Torati na Injili ni vitabu vya nani? Kama ni vyake na hajavilinda, basi ni muongo kwa sababu anasema hakuna wa kubadilisha maneno yake.
ndilo dictionary hilo ulikochukua maana ya neno Kristo ??Huwezi kuelewa maana wewe ni mtu wa dini, umefungwa na dini, ninyi munaabudu musichokijua, ukweli ni kwamba hakuna aliye juu ya Yesu, hata ukitaja katika watu wenye akili zaidi duniani basi namba moja atakuwa ni Yesu Kristo na siyo vinginenvyo, wengi walimpinga lakini baadae waligeuka kuwa watumishi wake, hivyo na mimi nakuombea maana ninakupenda kuna siku utahubiri jina lake, na hiyo ndio tofauti kati yetu na ninyi watu wa dini.
Hiyo ni imani kubwa sana ..kuamini Yesu alikufa na akafufuka na kushinda yote
Kwani ndugu mukheef we hiyo Aya ni ngumu hadi usubiri mawazo ya wanazuoni? Aaaaaaah! Hebu lete uelewa wako kwanza kabla hujawasoma wanazuoni, hiyo akili umepewa na Mungu itumie kabla hujaitegemea ya mwanadamu mwenzio.Ndio maana nikakwambia hiyo tafsiri yako baki nayo itakusaidia 🤣🤣🤣
Kwani wapi Yesu alihubiri ukristo ?? au aliwaambia watu wawe wakristo ??Allah asubiri adhabu yake tu maana haiwezekani alete janga(uislam) duniani Kisha abaki salama
Kristo ni kiumbe mwenye ubora zaidi kwa Mungu kuliko kiumbe chochote