Pascal Mayalla leo umeandika. Straightforward and clear
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaposema tatizo la nchi hii ni ccm muwe mnaelewa. kwamba kwa miaka 30 ya mikataba mibovu, serikali ya ccm haijapata uzoefu wa kunegotiate mikataba? si kweliWanabodi,
Hizi kelele za wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari zetu, sio za kuzipuuzia!. Katiba hii mbovu tuliyonayo!, Sheria zetu mbovu tuliyonayo, mikataba mibovu ya kimataifa tunayoingia, mwisho wa siku tunajikuta tumepigwa!, tunafunguliwa mashitaka, tunashindwa, tunapigwa tozo za mabilioni ya fedha!, ambazo ni lazima tulipe.
Haya yote ni matokeo ya kazi ya wanasheria wabovu na baadhi yao vilaza!. Leo nimeianza siku kwa bad news kutoka Marekani, Tanzania tumeshindwa kesi, tunadaiwa tozo ya dola za Marekani zaidi ya Millioni 100!, na lazima tulipe!.
Soma taarifa hii hapa chini
View attachment 2692021
Mungu ibariki Tanzania
- Kama Tanzania tulipitisha sheria kuwa kwenye uwekezaji hakuna mashauri yoyote ya nje ya nchi!. Mashauri yote ni hapa nchini kutumia sheria za Tanzania!, sasa haya mashauri yanaendelea vipi kupelekwa nje?.
- Hii maana yake ni ama tuna sheria mbovu, ama tuna wanasheria wabovu wanaotunga sheria mbovu, zinazotupa mikataba mibovu, na mwisho wa siku tunaishia kupigwa na kutozwa matozo ya ajabu ajabu!.
- Huku kila siku kushindwa kesi za kimataifa na kupigwa tozo nako ni ama tuna sheria mbovu za mikataba mibovu ama kama sheria ni nzuri, then tuna wanasheria wabovu wasio na uwezo wa kushauri the right thing to do!, hivyo serikali yetu inavunja mikataba kitutusa na mwisho wa siku tunaishia kuumizwa kwa kushindwa kesi na kupigwa tozo!.
- Kabla ya kuvunja mkataba wowote, serikali yetu inaomba ushauri wa kisheria kufanya kitu kinachoitwa mitigation, wanasheria hawa huishauri vibaya serikali yetu, mwisho wa siku, tunaishia kuumizwa!.
- Issues ya Richmond, Dowans, tukaunda tume, ikatoa matokeo kwa mbwembe kuwa Richmond ni kampuni hewa hata tukivunja mkataba, hatutashitakiwa popote!.
- Tukamfanya Edward Lowassa ni mbuzi wa kafara, tukavunja mkataba!.
- Tukashitakiwa tukashindwa, tukapigwa tozo!. Waliotushauri tuvunje mkataba wakajiapiza "over my dead body!, hatulipi". Tulilipa kisiri siri every cent!. Hawa wanasheria walifanywa nini?
- Mitambo ya Richmond ikanunuliwa na Simbion, tukaingia nao mkataba ule ule na tukawalipa!.
- Chuma JPM, alipoingia tukavunja mkataba wa Simbion, tukashitakiwa, tukashindwa, tukapigwa tozo, Chuma JPM, akagoma hatulipi!
- Mama kaingia, tumelipa fasta fasta, kimya kimya!. Wanasheria waliotufikisha hapa walifanywa nini?!.
- Tulipotunga sheria mbovu, watu humu tulishauri Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?, leo baada ya kutuletea hii IGA mbovu, watu tumeeleza matatizo yake kibao!.
- Wanasheria hawa hawa, Bunge letu hili hili wanaipitisha hivyo hivyo ilivyo, wanaiambia serikali yetu hii IGA ni nzuri, safi na haina matatizo yoyote!.
- Wanasheria hawa wanao tufikisha hapa, tukiwaita ni wanasheria wabovu au vilaza, itakuwa ni kuwaonea?.
- Tanzania tutaendelea kufanywa shamba la bibi na kichwa cha Mwendawazimu na wanasheria wabovu na vilaza wa aina hii hadi lini?!.
Paskali
Leo wewe umewageuka wenzio?Wanabodi,

Aisee,mbona tulishaoonywa? Unafikiri Spika aliyestaafishwa Job Ndugai aliyasema yale hivi hivi tu? Mjue wakati vinapikwa viongozi kama spika wanakuwa na ndoondo za ki-aina, alisha ona huku kwa DPWKuna wakati tutaoshuhudia nchi inauzwa na hatuna cha kwetu tena.
Hahahahaaa.... Na hakika kumbukumbu hazipotei.Aisee,mbona tulishaoonywa? Unafikiri Spika aliyestaafishwa Job Ndugai aliyasema yale hivi hivi tu? Mjue wakati vinapikwa viongozi kama spika wanakuwa na ndoondo za ki-aina, alisha ona huku kwa DPW
Nchi ishauzwa, manake ukiondoa Bandari tu huna lwako, yaani uachie asilimia 40%ya mapato yako chini ya Mkoloni....utapona kweli?
Kesho kuna Mama aliekua Lecturer pale Law School atanyanyuka mbele ya vyombo vya habari na kukuita wewe Pascal Mayalla ni MPUMBAVUWanasheria hawa wanao tufikisha hapa, tukiwaita ni wanasheria wabovu au vilaza, itakuwa ni kuwaonea?.
Sawa Mkuu, wacha tuache na zetu humuHahahahaaa.... Na hakika kumbukumbu hazipotei.
Ndiyo Ukweli Nasema Uongo Ndugu ZanguMmeanza kutubu mmoja mmoja, kutoka kwenye kusifu na kuabudu mpaka kulialia. Nonsense
Nakazia !Taasisi pekee inayoweza kuibwekea serikali na ikamtii ni CCM.
Na kwa kuwa Serikali ndiyo CCM, basi kama nchi tuna hasara ya kuwa na Chama cha Hovyo cha CCM.
Chama kikiwa cha hovyo hata Wanachama wake ni wa HOVYO. Paskali ukiwepo.
Nawe ni wa Hovyo.