Katiba ya CCM haina suala la Ukomo wa muda wa uongozi.

Mtajaribu sana kupandikiza ukabila, haitasaidia...!!
Mtajaribu sana na mengine mwngi, haitasaidia...!!

Katiba ya CCM haina ukomo wa uongozi, huko nako kuna 'ukabila'..??
Poleni sana wana-CCM, Chadema inawasumbua sana.
Si umeonyeshwa pale kila kipindi mchagga akiwa mwenyekiti ukomo hakuna lakini akiingia kabila nyingine anawekewa ukomo tupeni ufafanuzi hapo.

Asante kamanda , uchaguzi wa chadema utafanyika baada ya chama kuwa imara .
 
Pasco poti wangu na wewe wakati mwingine huwa najiuliza hivi ni wewe wa siku zote mwenye jina la njaa kwa kisukuma?,huyo unaemshabikia Mwigamba Samson wakati katiba inaandikwa wala hakuwepo Chadema,ufafanuzi umetolewa na watu mbali mbali ndani ya CDM,Tena Mnyika alieleza kwa upana zaidi,na kwa bahati nzuri alikuwepo wakati wa mchakato wa kuandika katiba mpya ya CDM,lkn bado kumbuka ,chadema ni chama kinachoendeshwa kwa vikao,hata hiyo katiba ilipitishwa kwa vikao,unataka kusema wajumbe wote waliohudhuria vikao vyote vya katiba hawakuwahi kuisoma katiba baada ya kutoka?kiasi kwamba hakuona kama kuna kifungu kimenyofolewa?mnatuchosha sana watu ambao mnatafuta u-Salvatory Rweyemamu wa mwaka 2015.

Asante kamanda , uchaguzi wa chadema utafanyika baada ya chama kuwa imara .

Sasa hivi bado chama ni dhaifu, hakiwezi kufanya uchaguzi.

Siku kikiwaimara ndio uchaguzi utafanyika.

Mnaotegemea kugombea uongozi wa chadema kwa sasa bora mtafute shughuli nyingine za kufanya.
 
Kajipangeni upya,Hatuna muda wakufanya Sub kwa sasa eti ili tu wachezaji wote wacheze kwa kuwa wamesajiliwa!.Kikosi ni hikihiki mpaka mechi hii iishe na tutakipumzisha kwa muda ambao sisi wenyewe tunaoujua,Nyie karekebisheni mapungufu ya kwenye katiba yenu inayompa ukamanda mkuu wa vijana Kingunge.
 
Pasco usi -justify. Kama nia yako ni uchaguzi CDM huo haupo!! tutafanya 2015 tukimaliza uchaguzi mkuu - pole kama ulikuwa unautaka uwenyekiti.

Ndege ina-takeoff sasa - hatuwezi kubadilisha wana-anga!!!
Mkuu Fuso, najisikia noma sana, umenishtukia!.
Pasco.
 
Ni afadhali ya Marcopollo anayejitambulisha kama mwanaCCM kuliko mnafki kama Pasco Mayala.
 
Chadema hatufanyi uchaguzi wa Chadema ni baada ya 2015 wasiopenda wajinyonge.. Katiba ya CCM haina ukomo halafu wao wanashabikia ukomo kwenye vyama vya wenzao kwasabau tu viongozi waliopo wanafupisha uhai wa CCM!
 
Ha! ha! ha! ... Quest means business.......
 
Pasco wa KITI-MOTO siyo wewe wa sasa, tume-mmiss Pasco Halisi. Kuhusu hicho kipengele kuondolewa kwa namna yoyote kilivyoondolewa it was for the best, na waliokiondoa waliongozwa na Mungu, maana kingetuletea shida wakati huu ambao kutokana na performance ya Viongozi wa juu wa Chadema nikimaanisha Dr. Slaa na Mbowe, CCM wanaweweseka wanataka wang'olewe kwa nguvu, yani wanaCCM ndo wamekuwa magwiji wa katiba ya Chadema all over the sudden hahahaaa. Poleni Hatufanyi Uchaguzi hadi baada ya 2015.. kama mnataka kugombea subirini kipindi hicho.. Tunafanya hivi kwa Maslahi mapana ya wanyonge wa nchi hii ambao wameweka matumaini yao Chadema.
 
Last edited by a moderator:
kama vile Ibilisi atetemekavyo akisikia jina la Yesu Kristo ndivyo SISIMU watetemekavyo wakisikia jina CHADEMA.
Pia sisimu wasiapo chadema hupatwa na hofu, woga,panic saa hiyo hiyo papo hapo
 
Huyu wa sasa anajurikana kama Bonafide genuine. Huyu akisikia Lowasa amekufa ghafla kwa heart attack iliyotokana na stroke yake basi na yeye anakufa hapo hapo.
 
Last edited by a moderator:
Huyu wa sasa anajurikana kama Bonafide genuine. Huyu akisikia Lowasa amekufa ghafla kwa heart attack iliyotokana na stroke yake basi na yeye anakufa hapo hapo.

Hahahahhahahaha Matola acha kunivunja mbavu.

Mbona unamchokoza Mzee Bonafide Genuine.

Hahahahahahaha.

We ndenda kijiwe cha Yericko Nyerere cha Lebnan ukapate mpya za leo toka kwa Snake ze Master.

Hahahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Wafanye kwa katiba ipi? watatiaje mguu kwa msajili na katiba iliyochakachuliwa?
"Njia ya muongo fupi" wameshafika mwisho kinachofuata sasa:
- au wafanye uchaguzi
- au msajili akifute chadema.
 
Si umeonyeshwa pale kila kipindi mchagga akiwa mwenyekiti ukomo hakuna lakini akiingia kabila nyingine anawekewa ukomo tupeni ufafanuzi hapo.

WanaCCM katiba yenu haina Ukomo acheni kuwa magwiji wa Katiba za Vyama vya wengine, ni ulimbukeni.. Chadema ndo wenye katiba na wao ndo waliona hicho kipengele kiseiwepo tena nyie kinawakera nin kama sisi wenye chadema hatuoni Shida.
 
Asante kamanda , uchaguzi wa chadema utafanyika baada ya chama kuwa imara .

Ni afadhali ya Marcopollo anayejitambulisha kama mwanaCCM kuliko mnafki kama Pasco Mayala.

WanaCCM katiba yenu haina Ukomo acheni kuwa magwiji wa Katiba za Vyama vya wengine, ni ulimbukeni.. Chadema ndo wenye katiba na wao ndo waliona hicho kipengele kiseiwepo tena nyie kinawakera nin kama sisi wenye chadema hatuoni Shida.

Hivi mmepata majibu ya kwanini katiba ya CCM haina ukomo wa madaraka? nimesomo kutoka pg ya 1 mpaka hii 5 bado sijapata majibu.
 
WanaCCM katiba yenu haina Ukomo acheni kuwa magwiji wa Katiba za Vyama vya wengine, ni ulimbukeni.. Chadema ndo wenye katiba na wao ndo waliona hicho kipengele kiseiwepo tena nyie kinawakera nin kama sisi wenye chadema hatuoni Shida.
Mtei (mchagga) haina ukomo
Mkani(msukuma) vipindi viwili
Mbowe(mchagga) haina ukomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…