Pasco wa KITI-MOTO siyo wewe wa sasa, tume-mmiss
Pasco Halisi. Kuhusu hicho kipengele kuondolewa kwa namna yoyote kilivyoondolewa it was for the best, na waliokiondoa waliongozwa na Mungu, maana kingetuletea shida wakati huu ambao kutokana na performance ya Viongozi wa juu wa Chadema nikimaanisha Dr. Slaa na Mbowe, CCM wanaweweseka wanataka wang'olewe kwa nguvu, yani wanaCCM ndo wamekuwa magwiji wa katiba ya Chadema all over the sudden hahahaaa. Poleni Hatufanyi Uchaguzi hadi baada ya 2015.. kama mnataka kugombea subirini kipindi hicho.. Tunafanya hivi kwa Maslahi mapana ya wanyonge wa nchi hii ambao wameweka matumaini yao Chadema.