Katiba ya CCM haina suala la Ukomo wa muda wa uongozi.

Mtajaribu sana kupandikiza ukabila, haitasaidia...!!
Mtajaribu sana na mengine mwngi, haitasaidia...!!

Katiba ya CCM haina ukomo wa uongozi, huko nako kuna 'ukabila'..??
Poleni sana wana-CCM, Chadema inawasumbua sana.
Si umeonyeshwa pale kila kipindi mchagga akiwa mwenyekiti ukomo hakuna lakini akiingia kabila nyingine anawekewa ukomo tupeni ufafanuzi hapo.

Katiba yao haina Kipengele cha ukomo wa mwenyekiti! Lakini wanataka Katiba ya CDM ndio iwe na Ukomo,Kisa nini?
Fumbo mfumbie mjinga,Mwerevu hungamua!!!!!!ikiwa katiba ya CDM kilikuwa na Kipengele hicho na kimeondolewa basi ni vema iwe hivyo kwani mbona wao wanaoshadadia CDM wameondoa kipengele hicho?[/QUOTE

kaka achana na hizo gambaz!!!

kwani huwa yanakurupuka na kuanza kudandia matukio wakidhani ni hoja bila kuvaa akili kichwani mithili ya naibu wao nchembe akurupukavyo kwenye mafumanizi yampatayo akiendekeza ngono uzembe na wake za watu,ref igunga.

They "gambaz aka maccm" do not have ample time to mull issues over beforehand.

You can now see and witness how witless they are!!
 
Asante kamanda , uchaguzi wa chadema utafanyika baada ya chama kuwa imara .
 
Mkuu Mwanaukweli, kila kipengele kinawekwa kwenye katiba for a reason!. Niliwauliuza Chadema what were the reasoms behindi kipengele hicho kuwekwa?.

Kipengele kikishawekwa, kinaweza kuondolewa kama zile sababu hazipo tena!, tena sio kinyemela!.
Tunaikomalia Chadema kwa sababu, kilikuwepo na reasons behind tunazijua!, na kilivanish into thin air with specific ill motives behind!.

CCM inaweza kufanya makosa ya kusema uongo hata mara100 na ikawa not a big deal!, lakini Chadema wakisema uongo hata mara moja tuu, its a big deal!, naamini sababu unazijua!.

Pasco.

Pasco poti wangu na wewe wakati mwingine huwa najiuliza hivi ni wewe wa siku zote mwenye jina la njaa kwa kisukuma?,huyo unaemshabikia Mwigamba Samson wakati katiba inaandikwa wala hakuwepo Chadema,ufafanuzi umetolewa na watu mbali mbali ndani ya CDM,Tena Mnyika alieleza kwa upana zaidi,na kwa bahati nzuri alikuwepo wakati wa mchakato wa kuandika katiba mpya ya CDM,lkn bado kumbuka ,chadema ni chama kinachoendeshwa kwa vikao,hata hiyo katiba ilipitishwa kwa vikao,unataka kusema wajumbe wote waliohudhuria vikao vyote vya katiba hawakuwahi kuisoma katiba baada ya kutoka?kiasi kwamba hakuona kama kuna kifungu kimenyofolewa?mnatuchosha sana watu ambao mnatafuta u-Salvatory Rweyemamu wa mwaka 2015.

Asante kamanda , uchaguzi wa chadema utafanyika baada ya chama kuwa imara .

Sasa hivi bado chama ni dhaifu, hakiwezi kufanya uchaguzi.

Siku kikiwaimara ndio uchaguzi utafanyika.

Mnaotegemea kugombea uongozi wa chadema kwa sasa bora mtafute shughuli nyingine za kufanya.
 
Kajipangeni upya,Hatuna muda wakufanya Sub kwa sasa eti ili tu wachezaji wote wacheze kwa kuwa wamesajiliwa!.Kikosi ni hikihiki mpaka mechi hii iishe na tutakipumzisha kwa muda ambao sisi wenyewe tunaoujua,Nyie karekebisheni mapungufu ya kwenye katiba yenu inayompa ukamanda mkuu wa vijana Kingunge.
 
Pasco usi -justify. Kama nia yako ni uchaguzi CDM huo haupo!! tutafanya 2015 tukimaliza uchaguzi mkuu - pole kama ulikuwa unautaka uwenyekiti.

Ndege ina-takeoff sasa - hatuwezi kubadilisha wana-anga!!!
Mkuu Fuso, najisikia noma sana, umenishtukia!.
Pasco.
 
Ninaelewa kuwa hii issue nzima imeanzia katika propaganda kwa kuwa ndio mpango wa CCM kuwa Slaa na Mbowe wasiwepo kwenye uongozi.

Mwenzenu mmoja alipost kwenye mtandao wake:

Kwa nini hii iwakere wapiga propaganda wa CCM kama wewe?

Ni hiyo hiyo operation chaos. Ndio maana wewe Zemarcopolo uliyesomea udaktari kwa miaka minane na ni daktari mzuri wa binadamu, unashinda mtandaoni kuwachafua viongozi wa chadema.

This is simply gutter politics! Na mtawapata wenye akili ndogo.

Ni afadhali ya Marcopollo anayejitambulisha kama mwanaCCM kuliko mnafki kama Pasco Mayala.
 
Chadema hatufanyi uchaguzi wa Chadema ni baada ya 2015 wasiopenda wajinyonge.. Katiba ya CCM haina ukomo halafu wao wanashabikia ukomo kwenye vyama vya wenzao kwasabau tu viongozi waliopo wanafupisha uhai wa CCM!
 
Ha! ha! ha! ... Quest means business.......
 
Mkuu Mwanaukweli, kila kipengele kinawekwa kwenye katiba for a reason!. Niliwauliuza Chadema what were the reasoms behindi kipengele hicho kuwekwa?.

Kipengele kikishawekwa, kinaweza kuondolewa kama zile sababu hazipo tena!, tena sio kinyemela!.

Tunaikomalia Chadema kwa sababu, kilikuwepo na reasons behind tunazijua!, na kilivanish into thin air with specific ill motives behind!.

CCM inaweza kufanya makosa ya kusema uongo hata mara100 na ikawa not a big deal!, lakini Chadema wakisema uongo hata mara moja tuu, its a big deal!, naamini sababu unazijua!.

Pasco.
Pasco wa KITI-MOTO siyo wewe wa sasa, tume-mmiss Pasco Halisi. Kuhusu hicho kipengele kuondolewa kwa namna yoyote kilivyoondolewa it was for the best, na waliokiondoa waliongozwa na Mungu, maana kingetuletea shida wakati huu ambao kutokana na performance ya Viongozi wa juu wa Chadema nikimaanisha Dr. Slaa na Mbowe, CCM wanaweweseka wanataka wang'olewe kwa nguvu, yani wanaCCM ndo wamekuwa magwiji wa katiba ya Chadema all over the sudden hahahaaa. Poleni Hatufanyi Uchaguzi hadi baada ya 2015.. kama mnataka kugombea subirini kipindi hicho.. Tunafanya hivi kwa Maslahi mapana ya wanyonge wa nchi hii ambao wameweka matumaini yao Chadema.
 
Last edited by a moderator:
kama vile Ibilisi atetemekavyo akisikia jina la Yesu Kristo ndivyo SISIMU watetemekavyo wakisikia jina CHADEMA.
Pia sisimu wasiapo chadema hupatwa na hofu, woga,panic saa hiyo hiyo papo hapo
 
Pasco wa KITI-MOTO siyo wewe wa sasa, tume-mmiss Pasco Halisi. Kuhusu hicho kipengele kuondolewa kwa namna yoyote kilivyoondolewa it was for the best, na waliokiondoa waliongozwa na Mungu, maana kingetuletea shida wakati huu ambao kutokana na performance ya Viongozi wa juu wa Chadema nikimaanisha Dr. Slaa na Mbowe, CCM wanaweweseka wanataka wang'olewe kwa nguvu, yani wanaCCM ndo wamekuwa magwiji wa katiba ya Chadema all over the sudden hahahaaa. Poleni Hatufanyi Uchaguzi hadi baada ya 2015.. kama mnataka kugombea subirini kipindi hicho.. Tunafanya hivi kwa Maslahi mapana ya wanyonge wa nchi hii ambao wameweka matumaini yao Chadema.

Huyu wa sasa anajurikana kama Bonafide genuine. Huyu akisikia Lowasa amekufa ghafla kwa heart attack iliyotokana na stroke yake basi na yeye anakufa hapo hapo.
 
Last edited by a moderator:
Huyu wa sasa anajurikana kama Bonafide genuine. Huyu akisikia Lowasa amekufa ghafla kwa heart attack iliyotokana na stroke yake basi na yeye anakufa hapo hapo.

Hahahahhahahaha Matola acha kunivunja mbavu.

Mbona unamchokoza Mzee Bonafide Genuine.

Hahahahahahaha.

We ndenda kijiwe cha Yericko Nyerere cha Lebnan ukapate mpya za leo toka kwa Snake ze Master.

Hahahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Wafanye kwa katiba ipi? watatiaje mguu kwa msajili na katiba iliyochakachuliwa?
"Njia ya muongo fupi" wameshafika mwisho kinachofuata sasa:
- au wafanye uchaguzi
- au msajili akifute chadema.
 
Si umeonyeshwa pale kila kipindi mchagga akiwa mwenyekiti ukomo hakuna lakini akiingia kabila nyingine anawekewa ukomo tupeni ufafanuzi hapo.

WanaCCM katiba yenu haina Ukomo acheni kuwa magwiji wa Katiba za Vyama vya wengine, ni ulimbukeni.. Chadema ndo wenye katiba na wao ndo waliona hicho kipengele kiseiwepo tena nyie kinawakera nin kama sisi wenye chadema hatuoni Shida.
 
Asante kamanda , uchaguzi wa chadema utafanyika baada ya chama kuwa imara .

Kajipangeni upya,Hatuna muda wakufanya Sub kwa sasa eti ili tu wachezaji wote wacheze kwa kuwa wamesajiliwa!.Kikosi ni hikihiki mpaka mechi hii iishe na tutakipumzisha kwa muda ambao sisi wenyewe tunaoujua,Nyie karekebisheni mapungufu ya kwenye katiba yenu inayompa ukamanda mkuu wa vijana Kingunge.

Ni afadhali ya Marcopollo anayejitambulisha kama mwanaCCM kuliko mnafki kama Pasco Mayala.

WanaCCM katiba yenu haina Ukomo acheni kuwa magwiji wa Katiba za Vyama vya wengine, ni ulimbukeni.. Chadema ndo wenye katiba na wao ndo waliona hicho kipengele kiseiwepo tena nyie kinawakera nin kama sisi wenye chadema hatuoni Shida.

Hivi mmepata majibu ya kwanini katiba ya CCM haina ukomo wa madaraka? nimesomo kutoka pg ya 1 mpaka hii 5 bado sijapata majibu.
 
WanaCCM katiba yenu haina Ukomo acheni kuwa magwiji wa Katiba za Vyama vya wengine, ni ulimbukeni.. Chadema ndo wenye katiba na wao ndo waliona hicho kipengele kiseiwepo tena nyie kinawakera nin kama sisi wenye chadema hatuoni Shida.
Mtei (mchagga) haina ukomo
Mkani(msukuma) vipindi viwili
Mbowe(mchagga) haina ukomo
 
Back
Top Bottom