Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Lissu angekuwa anapendwa na kuungwa mkono angekuwa kanunuliwa gari mpaka muda huu.We mpumbav mbona unapungua akili au RUBA wa kwenye Ng'olezi ya mpunga wamekunyoosha? wananchi wawe na hasira na Lissu kwa kwa lipi au wewe hapo ulipo una hasira dhidi ya LISSU kwa Lipi alilokukosea? Kwa taarifa yako hakuna anaependwa na wananchi wa tz kama Lissu na huwe linganisha na mtu yeyote ambae bado anapumua hapa tz na nikukumbushe ukimchukia sana Lissu ujue kabisa kaburi limekusogelea na jehanam kunakuhusu kama huta muulize kiongozi uchwara wa mashetwani.
Embu fikiria kama watu laki moja tu wangechangia elfu moja moja maana yake mpaka sasa angekuwa amepata millioni mia moja.yaani
1000x100,000=100,000,000/=
Sasa cha ajabu hata watu elfu sita hawajafika katika wale waliomchangia. Sasa anapendwa na akina nani hao? Ukute hata wewe ni mnafiki tu mkubwa umegoma kumchangia.