Pre GE2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA kutangazwa mchana huu. Nani kumrithi John Mnyika?

Pre GE2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA kutangazwa mchana huu. Nani kumrithi John Mnyika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ok sawa, lakini kwa godbless Lema ingekuwa vizuri zaidi. kungekuwa na combination hatari ya kikosi hatari sana Cha 'mauaji.'
Lema ni mtu wa mikikimikiki na si mtu wa kukaa ofisini,mwenyewe amesema hawezi,Amani atafaa sana,na naibu wake awe Gaston Garubimbi
 

Attachments

  • Screenshot_20250122-150457.png
    Screenshot_20250122-150457.png
    865.5 KB · Views: 1
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu mpya wa Chadema atatangazwa mchana huu

Bado haijajulikana ni nani hasa, japo kuna Majina kadhaa yanatajwa.

Juhudi zangu za kulazimisha kuvujishiwa jina kwa manufaa ya JF zinaendelea, Nzi wangu akiweza tu kunusa basi haraka sana kwa chap nalileta jina hapa

Usiondoke JF
Ni John Pambalu 😄
 
Back
Top Bottom